Back

ⓘ Asafo
Asafo
                                     

ⓘ Asafo

Asafo kuanzia mwaka 573 alikuwa askofu-abati wa jimbo ambalo baadaye lilipewa jina lake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 1 Mei lakini pia 5 Mei na awali 11 Mei.