Back

ⓘ Amatori wa Auxerre
Amatori wa Auxerre
                                     

ⓘ Amatori wa Auxerre

Amatori wa Auxerre alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 388 hadi kifo chake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 1 Mei.

                                     

1. Maisha

Amatori alisoma teolojia chini ya Valeriani wa Auxerre, lakini wazazi walimshinikiza kuoa. Hata hivyo alikubaliana na mke wake kuishi kama kaka na dada.

Baadaye mkewe alijiunga na umonaki, naye alijiunga na kleri na hatimaye akawa askofu kwa miaka 30 akijitahidi kungoa ushirikina.

                                     

2. Viungo vya nje

  • Procesión de San Amador, patrón de Martos Jaén, el 5 de Mayo de 2006
  • Saint of the Day, May 1: Amator Archived Desemba 21, 2010 at the Wayback Machine.
  • Cathédrale Saint-Étienne Image of St. Amadour