Back

ⓘ Bretanioni
                                     

ⓘ Bretanioni

Bretanioni alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 360.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Januari.

                                     

1. Maisha

Kwa kumpinga hadharani kaisari Valens, aliyetaka Wakristo wafuate mafundisho ya Ario, alipelekwa uhamishoni Lakini baadaye aliruhusiwa kurudi kutokana na malalamiko ya umati,

                                     

2. Viungo vya nje

  • Archived Julai 15, 2009 at the Wayback Machine.
  • Il cristianesimo nella Scytia Minor tra i se. IV-VI, Roma 1989, pp. 29–30
  • VETRANION, episcop la Tomis Archived Oktoba 8, 2007 at the Wayback Machine.
  • Sfantul VETRANION, episcopul Tomisului Archived Aprili 26, 2007 at the Wayback Machine.
  • Note biografiche tratto da: Les Petits Bollandistes; Vies des saints, tomo I