Back

ⓘ Agrisi wa Trier
Agrisi wa Trier
                                     

ⓘ Agrisi wa Trier

Agrisi wa Trier alikuwa askofu wa kwanza kujulikana kwa hakika wa mji huo kwa kuwa alishiriki Mtaguso wa Arles mwaka 314.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Januari au 19 Januari.