Back

ⓘ Kuriakose Elias Chavara
Kuriakose Elias Chavara
                                     

ⓘ Kuriakose Elias Chavara

Kuriakose Elias Chavara alikuwa padri wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar nchini India.

Alianzisha mashirika ya kitawa, moja kwa ajili ya wanaume na lingine kwa ajili ya wanawake.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza kuwa mwenye heri tarehe 8 Februari 1986, halafu Papa Fransisko akamtangaza mtakatifu tarehe 23 Novemba 2014.

Sikukuu yake ni 3 Januari.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Blessed Kuriakose Elias Chavara
  • Postage stamp issued in honor of Father Elias by the Republic of India on 20 December 1987
  • Blessed Kuriakose Elias Chavara at Patron Saint Index
                                     
  • Padua, Teojene wa Pario, Fiorenso wa Vienne, Genoveva wa Nanterre, Kuriakose Elias Chavara n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: 3 Januari BBC: On This

Users also searched:

...