Back

ⓘ Awgin wa Klusma
                                     

ⓘ Awgin wa Klusma

Awgin wa Klusma alikuwa mmonaki wa Misri ambaye inasimuliwa kuwa aliingiza mtindo huo wa maisha katika Kanisa la Waashuru.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.