Back

ⓘ Aleksanda II wa Aleksandria
                                     

ⓘ Aleksanda II wa Aleksandria

Aleksanda II wa Aleksandria alikuwa mmonaki, halafu patriarki wa 43 wa Kanisa la Kikopti kuanzia mwaka 704 hadi kifo chake, kipindi cha dhuluma kubwa kutoka kwa Waislamu waliotawala Misri.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake au 1 Februari.