Back

ⓘ Agatho wa Aleksandria (patriarki)
                                     

ⓘ Agatho wa Aleksandria (patriarki)

Agatho wa Aleksandria alikuwa patriarki wa 39 wa Kanisa la Kikopti kati ya miaka 661/662 na 677/680.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.