Back

ⓘ Abrahamu wa Farshut
                                     

ⓘ Abrahamu wa Farshut

Abrahamu wa Farshut ni kati ya Wakristo wamonaki maarufu wa Misri katika karne ya 5 au ya 6.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Februari.