Back

ⓘ Abrahamu wa Skete
                                     

ⓘ Abrahamu wa Skete

Abrahamu wa Skete ni kati ya Wakristo wamonaki maarufu wa Misri.

Mtoto wa kabaila, alijiunga na monasteri. Kabla hajafa aliteseka miaka 18 kwa ugonjwa wake.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Januari.