Back

ⓘ Abdel Messih El-Makari
                                     

ⓘ Abdel Messih El-Makari

Abdel Messih El-Makari alikuwa mmonaki padri wa Kikopti.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.