Back

ⓘ Abadiu wa Antinoe
                                     

ⓘ Abadiu wa Antinoe

Abadiu wa Antinoe alikuwa askofu wa mji huo wa Misri aliyefia dini yake katika dhuluma ya Waario dhidi ya walioshika imani sahihi ya Kikristo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Desemba.