Back

ⓘ Besa wa Misri
                                     

ⓘ Besa wa Misri

Besa wa Misri alikuwa mmonaki Mkristo kati ya karne ya 5 BK.

Tangu kale abati huyo anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Desemba.