Back

ⓘ Anthusa wa Afrika Kaskazini
                                     

ⓘ Anthusa wa Afrika Kaskazini

Anthusa wa Afrika Kaskazini ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario. Yeye alichomwa moto akiwa hai.

Habari zao zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu ya Anthusa huadhimishwa tarehe 8 Desemba.