Back

ⓘ Madini silikati
Madini silikati
                                     

ⓘ Madini silikati

Madini silikati ni madini yanayounda miamba mbalimbali. Yote yanaundwa na anioni zenye silikoni na oksijeni. Ndilo kundi kubwa na muhimu zaidi katika madini yote likifanya karibu asilimia 90 za ganda la Dunia.

Silika dioksidi ya silikoni SiO 2 kawaida huhesabiwa kuwa madini silikati. Silika hupatikana katika maumbile kama shondo na maumbo yake.

                                     

1. Muundo wa jumla

Madini silikati kimsingi ni kampaundi ya ioni ilhali anioni zake huwa na atomi za silikoni na atomi za oksijeni.

Katika madini mengi kila atomi ya silikoni iko katikati ya kitovu cha piramidi pembetatu tetrahedron, ambako pembe zake ni atomi za oksijeni nne.

                                     
  • kwa Kiingereza: mica ni kundi la madini yanayopatikana kwa umbo la mabapa membamba. Kikemia ni Madini silikati zinazounda fuwele monokliniki yaani
  • mwingine. Madini ambayo mitapo yake hupatikana kwa umbo la oksidi, sulfidi na silikati au tayari kama metali kama vile shaba na dhahabu. Kwa mfano chuma hupatikana

Users also searched:

...
...
...