Back

ⓘ Ambrosi wa Aleksandria
                                     

ⓘ Ambrosi wa Aleksandria

Adrioni alikuwa Mkristo wa mji huo aliyefungwa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Maksimini.

Mtu tajiri, alimsaidia Origen kwa mali yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Machi.