Back

ⓘ Achilas wa Skete
                                     

ⓘ Achilas wa Skete

Achilas wa Skete ni kati ya Wakristo wa Misri walioishi vizuri imani yao jangwani.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Januari.