Back

ⓘ Betselote na Honori
                                     

ⓘ Betselote na Honori

Betselote na Honori ni kati ya wamonaki Wakristo wa Ethiopia wanaokumbukwa hadi leo.

Habari zao ziliandikwa na kutunzwa katika mfululizo "Corpus Scriptorum Christianorum Orientalium, 28 = Corpus Scriptorum Christianorum Orientalium, Scriptores Aethiopici, 11 Vitae sanctorum indigenarum, fasc. 1. Acta S. Basalota Mikael et S. Anorewos Aeth. II, 20, T.; ISBN: 978-90-429-0063-9)

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia kama watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Oktoba.