Back

ⓘ Abnodi
                                     

ⓘ Abnodi

Abnodi ni kati ya Wakristo wa Ethiopia.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Septemba.