Back

ⓘ Ablak
                                     

ⓘ Ablak

Ablak ni kati ya Wakristo wa Ethiopia.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Mei.