Back

ⓘ Abrahamu wa Ethiopia
                                     

ⓘ Abrahamu wa Ethiopia

Abrahamu wa Ethiopia ni kati ya Wakristo maarufu wa Ethiopia, labda askofu katika karne ya 4 au ya 5.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Mei.