Back

ⓘ Abeluzius
                                     

ⓘ Abeluzius

Abeluzius ni kati ya Wakristo wa Ethiopia.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari.