Back

ⓘ Benyamini na Bejoki
                                     

ⓘ Benyamini na Bejoki

Benyamini na Bejoki ni kati ya wamonaki wa Misri walioishi vizuri imani yao.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 25 Juni.