Back

ⓘ Atro
                                     

ⓘ Atro

Atro ni kati ya mapadri wa Misri walioishi vizuri imani yao.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Juni.