Back

ⓘ Anubu mmonaki
                                     

ⓘ Anubu mmonaki

Anubu mmonaki ni kati ya Wakristo wa Misri walioishi vizuri imani yao.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Juni.