Back

ⓘ Abili wa Aleksandria
                                     

ⓘ Abili wa Aleksandria

Abili wa Aleksandria alikuwa askofu wa tatu wa mji huo wa Misri.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Februari.

                                     

1. Marejeo

  • Atiya, Aziz S. The Coptic Encyclopedia. New York: Macmillan Publishing Co., 1991. ISBN 0-02-897025-X
  • Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.