Back

ⓘ Apolo wa Bawit
                                     

ⓘ Apolo wa Bawit

Apolo wa Bawit alikuwa mmonaki wa Misri ambaye, baada ya kuishi miaka 40 upwekeni katika jangwa la Thebe, aliacha hali hiyo ili kumpinga Kaisari Juliani Mwasi, akawa abati wa wamonaki 500 karibu na Hermopilis.

Anaheshimiwa tangu zamani sana kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 22 Oktoba kila mwaka.