Back

ⓘ Ampelio mkaapweke
                                     

ⓘ Ampelio mkaapweke

Ampelio mkaapweke alikuwa mhunzi Mkristo wa Misri aliyeshi kwanza jangwani karibu na Thebe halafu akahamia Italia.

Tangu kale aanaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Mei.