Back

ⓘ Barsanufi wa Gaza
Barsanufi wa Gaza
                                     

ⓘ Barsanufi wa Gaza

Barsanufi wa Gaza alikuwa mkaapweke kutoka Misri.

Ingawa alijitenga kabisa na watu aliandika barua nyingi; kati yake 800 zimetufikia.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 6 Februari au 11 Aprili.