Back

ⓘ Krispina
                                     

ⓘ Krispina

Krispina alikuwa mwanamke Mkristo kutoka Thagara aliyeuawa kwa kukatwa kichwa wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano na Maximian.

Habari za huyo mama wa familia tajiri zinasimuliwa katika hati za mateso yake zilizoandikwa muda si mrefu baada ya tukio na katika hotuba za Augustino wa Hippo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Desemba.

                                     

1. Vyanzo

 • Boissier, Melanges Paris, 1903, 383 sq.
 • Crispina at the Catholic Encyclopedia
 • Allard, Histoire des Persecutions, IV, 443 sq.
 • Schiavo, Anthony P., I Am A Christian: Authentic Accounts of Christian Martyrdom and Persecution from the Ancient Sources, Merchantville, NJ: Arx Publishing, 2018. Includes an English translation of the Passion of Saint Crispina as recounted by Alphonsus Liguori based on the ancient Acts of Saint Crispina: ISBN 978-1-935228-18-9
 • Ruinart, Theirry, Acta Primorum Martyrum Sincera, 1689.
 • Liguori, Alphonsus, Victories of the Martyrs., 1776.
 • Pio Franchi De Cavalieri, in Studi et Testi Rome, 1902, IX, gives a new edition of the Acts
 • Butler, Lives of the Saints, 5 Dec.
                                     
 • wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Krispina wa Tagora, Saba, Yohane Almond n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu:
 • Atora, Petro, Lambese, Lusiani na Felisi, Afrika Kaskazini Krisanto, Misri Krispina wa Tagora, Algeria Krispini mfiadini, Afrika Kaskazini Kronide, Leonsi
 • Ndiyo Krisanto na Daria Ndiyo Ndiyo Ndiyo Krisogoni Ndiyo Ndiyo Krispina Ndiyo Ndiyo Krispini mfiadini Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Krispini na Krispiniani

Users also searched:

...
...
...