Back

ⓘ Luka Thin Viet Pham
                                     

ⓘ Luka Thin Viet Pham

Luka Thin Viet Pham ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19.

Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116.

Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pius X na Papa Pius XII waliwatangaza kuwa wenye heri, halafu Papa Yohane Paulo II aliwaunganisha katika kuwafanya watakatifu wafiadini tarehe 19 Juni 1988.

Sikukuu yao huadhimishwa kwa pamoja kila tarehe 24 Novemba, ila ya kwake ni tarehe 13 Januari.

                                     

1. Marejeo

  • Les Missions Etrangères. Trois siecles et demi dhistoire et daventure en Asie Editions Perrin, 2008, ISBN 978-2-262-02571-7
  • "St. Andrew Dung-Lac & Martyrs", by Father Robert F. McNamara, Saints Alive and All Gods Children Copyright 1980-2010 Rev. Robert F. McNamara and St. Thomas the Apostle Church.
  • "Vietnamese Martyr Teaches Quiet Lessons", By Judy Ball, An AmericanCatholic.org Web Site from the Franciscans and St. Anthony Messenger Press.
                                     
  • Petro wa Kapitolias, Gumesindi na Servidi, Dominiko Pham Thong, Luka Thin Viet Pham Yosefu Pham Thong Ta n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: 13

Users also searched:

...