Back

ⓘ Mamalia wa majini
Mamalia wa majini
                                     

ⓘ Mamalia wa majini

Mamalia wa majini ni mamalia ambao wanaishi na kupata riziki zao majini, ama baharini ama katika maziwa, mito. Ni wanyama wa spishi mbalimbali jamii ya mamalia ambazo hazihusiani kwa asili, ila zimefuata njia zinazofanana kidogo katika kuzoea kwa kiasi tofauti mazingira hayo badala ya kuendelea kuishi katika nchi kavu.

                                     

1. Marejeo

 • Perrin, W. F. 2009., 2nd, San Diego: Academic Press. ISBN 978-0-0809-1993-5. OCLC 316226747.
                                     
 • Mamalia wa baharini ni mamalia wa majini ambao wanaishi na kupata riziki zao baharini. Ni wanyama wa spishi mbalimbali 129 jamii ya mamalia ambazo hazihusiani
 • Nyangumi ni jina la jumla la mamalia wa majini wa oda ya Cetacea. Neno nyangumi wakati fulani humaanisha wanyama wote wa oda ya Cetacea, lakini katika
 • Lakini chura wakubwa wameonekana pia kula mamalia wadogo, samaki na chura wadogo zaidi. Spishi kadhaa wana ulimu wa kunata wanashika wadudu wanaopita haraka
 • kujizuia na mwanga mkali wa jua. Mifupa yao imejengwa kuweza kubeba uzito wa mnyama wote. Kama mamalia wengine waishio majini kiboko pia wana nywele chache
 • yanayotoka nje ya uso wa maji. Kundi moja ni mamalia kama nyangumi, nguva au walarasi na pinnipedia wengine. Wanapumua kama mamalia wote hata kama maisha
 • ni kwamba lava wa usubi weusi huishi majini kwa mito yenye mtiririko mkali. Kitembo cha kuokoka ni nyeti sana kwa kiwango cha uchafuzi wa maji. Mabuu hutumia
 • wa mimea au damu ya wadudu wengine na hata ya mamalia katika spishi kadhaa. Spishi fulani za nusufamilia Triatominae zinaambukiza watu kwa ugonjwa wa
 • Nyati - maji katika Uthai Albino wa nyati - maji Nyati - maji hupendelea kuweko majini Nyati - maji anayevingirika matopeni Ndama wa nyati - maji katika Uhindi Ili
 • au ngwena ni spishi kubwa za reptilia za oda Crocodilia. Mamba wanaishi majini na hupatikana maeneo mengi ya kitropiki katika Afrika, Asia, Australia na
 • wanapatikana Kanada, Alaska, Skandinavia na Urusi. Wao hula mimea ya ardhini na majini Wanyama ambao huwinda elki ni mbwa - mwitu, dubu na binadamu. Tofauti na

Users also searched:

difyusheni ni nini, osmosis ni nini,

...
...
...