Back

ⓘ Mamalia wa baharini
Mamalia wa baharini
                                     

ⓘ Mamalia wa baharini

Mamalia wa baharini ni mamalia wa majini ambao wanaishi na kupata riziki zao baharini. Ni wanyama wa spishi mbalimbali jamii ya mamalia ambazo hazihusiani kwa asili, ila zimefuata njia zinazofanana kidogo katika kuzoea kwa kiasi tofauti mazingira hayo badala ya kuendelea kuishi katika nchi kavu.

                                     

1. Marejeo

 • Perrin, W. F. 2009., 2nd, San Diego: Academic Press. ISBN 978-0-0809-1993-5. OCLC 316226747.
                                     

2. Viungo vya nje

 • The Society for Marine Mammalogy The largest organization of marine mammalogists in the world.
 • National Oceanographic and Atmosphere Administration An agency that focuses on the conditions of the ocean and the climate
 • Introduction to the Desmostylia Museum of Paleontology, University of California – extinct group of marine mammals
 • The MarineBio Conservation Society An online education site on marine life
 • The Marine Mammal Center A conservation group that focuses on marine mammals
                                     
 • Mamalia wa majini ni mamalia ambao wanaishi na kupata riziki zao zote au sehemu majini, ama baharini ama katika maziwa, mito. Ni wanyama wa spishi mbalimbali
 • Vertebrata ni jina la kitaalamu la kutaja wanyama wote wenye uti wa mgongo. Mifano ni mamalia ndege Aves reptilia wanyama watambaaji kama nyoka au mamba
 • bali nyangumi ambao ni mamalia Samaki ni chakula bora kwa sababu nyama yake ina protini nyingi inayopokewa kwa urahisi na mwili wa binadamu. Leo hii ni
 • Nyangumi ni wanyama wa bahari, na pengine wa maji matamu, katika oda Cetacea wanaofanana na samaki, lakini ni mamalia kwa hivyo hawatagi mayai kama samaki
 • Nguva ing.: Sirenia ni wanyama wakubwa wanaoishi baharini Hata hivyo ni mamalia wanaozaa watoto walio hai na kuwalisha kwa maziwa. Nguva huwa na mikono
 • wa mimea au damu ya wadudu wengine na hata ya mamalia katika spishi kadhaa. Spishi fulani za nusufamilia Triatominae zinaambukiza watu kwa ugonjwa wa
 • kuna mamalia wanaokamata samaki kama sili na aina za nyangumi. Dubu aktiki huvinda wanyama wote wengine akipendelea sili na samaki. Nje ya mamalia kuna
 • Spishi nyingi zinaishi baharini lakini kuna pia spishi chache wanaokaa kwenye maji baridi ya mito. Kuna pia spishi za pomboo wa mtoni ambao ni familia
 • wenye uti wa mgongo wasio katika kategoria ya mamalia kuna tofauti kadhaa muhimu: Seli za damu za wanyama wenye uti wa mgongo wasio mamalia zimetandazwa
 • na kutimiza upendo wa Mungu aliyesema, Na tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu wakatawale samaki wa baharini na ndege wa angani, na wanyama

Users also searched:

...
...
...