Back

ⓘ Val Avery
Val Avery
                                     

ⓘ Val Avery

Sebouh Der Abrahamian alikuwa mwigizaji wa Marekani aliyeonekana katika mamia ya filamu na maonyesho ya televisheni.

Alifanya kazi kwa miaka takriban 50, Avery alionekana katika filamu zaidi ya 100 na alikuwa na maonyesho katika vipindi vya televisheni zaidi ya 300.

                                     

1. Baadhi ya filamu alizoshiriki kama muigizaji

 • The Long, Hot Summer 1958 aliyoigiza kama Wilk
 • The Harder They Fall 1956 aliyoigiza kama Frank
 • Satans Bed 1965
 • Edge of the City 1957 aliyoigiza kama Brother
 • The Hallelujah Trail 1965 aliyoigiza kama Denver bartender
 • Sylvia 1965 aliyoigiza kama Pudgey Smith
 • Nevada Smith 1966 aliyoigiza kama Buck Mason
 • Wild Winter 1966 aliyoigiza kama Fox
 • Last Train from Gun Hill 1959 aliyoigiza kama Steve, Horseshoe Bartender
 • Hombre 1967 aliyoigiza kama Delgado
 • Hud 1963 aliyoigiza kama Jose
 • Faces 1968 aliyoigiza kama Jim McCarthy
 • The Magnificent Seven 1960 aliyoigiza kama Henry
 • King Creole 1958 aliyoigiza kama Ralph
 • Requiem for a Heavyweight 1962 aliyoigiza kama Young fighters promoter
 • Too Late Blues 1961 aliyoigiza kama Milt Frielobe
 • Assault on a Queen 1966 aliyoigiza kama Trench
 • Love with the Proper Stranger 1963 aliyoigiza kama Stein
                                     

2. Viungo vya nje

 • New York Times Obituary
 • Val Avery at the Internet Movie Database
 • Val Avery at the Internet Off-Broadway Database
 • Val Avery at the Internet Broadway Database
 • Val Avery katika All Movie Guide