Back

ⓘ Paoneaanga pa Tartu
Paoneaanga pa Tartu
                                     

ⓘ Paoneaanga pa Tartu

Paoneaanga pa Tartu ni paoneaanga maarufu huko Estonia. Kituo hiki kilianzishwa katika Chuo Kikuu cha Kifalme cha Dorpat kikafunguliwa mwaka 1802.

Jengo la uchunguzi lilikamilishwa mwaka 1810 kwenye kilima cha Toome huko Dorpat.

Vifaa vya uchunguzi viliwekwa katika mwaka 1814 na von Struve ambaye baadaye alianza uchunguzi.

Wanasayansi kadhaa wanaojulikana kuhusishwa katika kituo hiki: von Struve, Johann Heinrich von Mädler, Thomas Clausen, Ernst Julius Öpik, Grigori Kuzmin, Jaan Einasto.

                                     

1. Viungo vya nje

  • About the search for dark matter in the Tartu observatory
  • Tartu Old Observatory
  • Fraunhofer refractor
  • Timeline of Tartu Observatory
  • Tartu Observatory
  • Tartu Observatoorium 1805-1948, Georgi Želnin, 2004

Users also searched:

...