Back

ⓘ Malaysia Mashariki
Malaysia Mashariki
                                     

ⓘ Malaysia Mashariki

Malaysia Mashariki ni sehemu ya Malaysia inayopatikana kaskazini mwa kisiwa cha Borneo na visiwa vidogo vya jirani.

Inaundwa na majimbo ya Sarawak na Sabah pamoja na eneo la shirikisho la Labuan funguvisiwa lililoanzishwa mwaka 1984.

Idadi ya wakazi ilikuwa milioni 5.77 mwaka 2010.

Upande wa dini, Waislamu ni 51.3%, Wakristo 33.3%, Wabuddha 9.3% n.k.

                                     

1. Marejeo

  • Acts of the Parliament of the United Kingdom Malaysia Act 1963
  • Manila Accord 31 July 1963
  • Exchange of notes constituting an agreement relating to the implementation of the Manila Accord of 31 July 1963
  • Agreement relating to Malaysia between United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland, Federation of Malaya, North Borneo, Sarawak and Singapore
  • Andrew Harding & James Chin, 50 years of Malaysia: Archived Mei 13, 2018 at the Wayback Machine. Federalism revisited Marshall Cavendish 2014
  • Cabinet Memorandum. Policy in regard to Malaya and Borneo. Memorandum by the Secretary of State for the Colonies. 29 August 1945

Majiranukta kwenye ramani: 3°N 114°E  / 3; 114

Users also searched:

...
...
...