Back

ⓘ Latifa Mtobi
                                     

ⓘ Latifa Mtobi

Latifa Mtobi ni mwigizaji wa filamu wa Tanzania.

Ameanza tasnia ya Bongo movie kwa Tuesday Entertainment, anapendelea kuogelea na riadha.

Yuko pamoja na waigizaji wengine katika tamthilia ya Millosis inayorushwa TBC1 kutoka kwa Director Tuesday Kihangala.

                                     
  • Dee LAFamilia Lameck Ditto Lameck Okambo Airo Lathifah Hassan Chande Latifa Mtobi Laurean Rugambwa Laus Omar Mhina Lawrence Kego Masha Lazaro Nyalandu

Users also searched:

...