Back

ⓘ Easter Flavian
                                     

ⓘ Easter Flavian

Easter Flavian ni mwigizaji wa filamu za Kitanzania.

Alijiunga katika tasnia ya urembo katika kitongoji kimoja mjini Tanga mwaka 2009 akianzia mashindano ya urembo, alishika nafasi ya pili katika mashindano hayo.

Alianza kushiriki filamu mwaka 2008.

                                     

1. Ushiriki

Mwanadada huyu ambaye mwaka 2009 alishiriki masuala ya urembo katika ngazi ya kitongoji mjini Tanga na kushika nafasi ya pili na baadaye Miss Dar Indian Ocean, kwa sasa aMejiingiza katika tasnia ya filamu za Kitanzania.

Users also searched:

...