Back

ⓘ Snura Anton Mushi
                                     

ⓘ Snura Anton Mushi

Mwaka 1991 alianza safari yake ya masomo katika Shule ya Msingi Yombo Vituka jijini Dar es Salaam.

Alipomaliza darasa la saba hakuendelea kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wake.

                                     

1. Shughuli

Mwaka 2006 aliaanza kazi ya usanii katika filamu ya Mfalme Seuta iliyo directiwa na Director’ wa Mwananchi Production anayeitwa Gumbo Kihorota na baadaye alicheza filamu kama Zinduna na Hitimisho.

Mwaka 2007 alijiunga na Tuesday Kihangala Mr. Chuzi’ ndipo akajiunga na Jumba la Dhahabu na nyinginezo.

Pia baadae alianza rasmi kuingia kwenye Tasnia ya Muziki wa kizazi kipya