Back

ⓘ Tex Avery
                                     

ⓘ Tex Avery

Frederick Bean "Fred / Tex" Avery alikuwa mwigizaji, mchoraji, na mkurugenzi wa Marekani.

Yeye ni maarufu kwa kutengeneza katuni za ukaragushi wakati wa Golden Age ya Hollywood.

Alifanya kazi yake kuu zaidi kwa Warner Bros na studio ya Metro-Goldwyn-Mayer. Alitengeneza wahusika wa Porky Pig, Daffy Duck, Bugs Bunny, na Droopy.