Back

ⓘ Mzee Majuto
Mzee Majuto
                                     

ⓘ Mzee Majuto

Alhaji Amri Athumani alikuwa mwigizaji, mwongozaji, mwandishi wa muswada na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania.

Ndiye mwigizaji wa kwanza kurekodi mikanda yake na kuiuza huku akifanya kazi na Shirika la Filamu Tanzania Film Company-TFC.

                                     

1. Wasifu wake

Alisoma shule ya Msambwini iliyoko mkoani Tanga.

Alianza kuigiza mnamo mwaka 1958 akiwa na umri wa miaka 9 mpaka 10; wakati huo alikuwa akiigiza katika majukwaa.

                                     

2. Matibabu yake nchini India

Aprili 28, 2018 Waziri wa habari, sanaa na michezo, Harrison Mwakyembe alimtembelea Mzee Majuto katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu. Katika siku hiyo Waziri Mwakyembe alitangaza nia ya serikali ya Tanzania kumpeleka Mzee Majuto nchini India. Awali King Majuto aliripotiwa kusumbuliwa na ugonjwa wa tezi dume ambapo alianza matibabu yake nchini Tanzania

Mnamo Mei 1, Mzee Majuto aliripotiwa kupelekwa nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.

                                     

3. Kuzidiwa na kifo chake

Alitibiwa India hadi hapo afya yake ilipoimarika na kurejea nchini Tanzania kuendelea na kliniki yake katika hospitali ya Muhimbili.

Baadaye Mzee Majuto aliripotiwa kuzidiwa, hali iliyopelekea kulazwa tena hospitali ya taifa Muhimbili katika wodi ya wagonjwa mahututi ICU

Alipatwa na mauti hapo 8 Agosti 2018 majira ya saa mbili kamili usiku katika wodi za mwaisera, katika hospitali ya taifa Muhimbili.

                                     

4. Filamu alizoigiza

Zifuatazo ni filamu anazodaiwa kushiriki kuigiza enzi za uhai wake.

 • Vituko Show Vol. 10
 • Kidumu
 • Inye Gwedegwede
 • Inye Vol.1
 • Inye Plus
 • ATM
 • Rent House
 • Street Girl
 • Bishoo
 • Mkali Mo
 • Wake Up
 • Gumzo
 • Welcome Back
 • Gundu
 • Mama Ntilie
 • Koziman Vol 21
 • Bettery Low
 • Tabia
 • Jazba
 • Nyumba Nne
 • Nimekuchoka
 • Trouble Maker
 • Zebra
 • Mpango Sio Matumizi
 • Machimbo
 • Moto Bati
 • Pedeshee
 • Back with Tears
 • Kulipa Tabu
 • Varangati
 • Fundi Feni
 • Waiter
 • Oh Mama
 • Kuwadi
 • Kipofu
 • Sio Sawa
 • Mbegu
 • After Money
 • Mke wa Mtu Sumu
 • Mgeni Njoo
 • Mshamba
 • Nakwenda Kwa Mwanangu
 • Mjomba
 • Mtego wa Panya
 • Naja Leo Naondoka Leo Tanga
 • Sikukuu ya Wajinga
 • Kitu Bomba
 • Ndoto ya Tamaa
 • Tikisa
 • Lakuchumpa
 • Mbugila
 • Chips Kuku
 • Shoe Shine
 • Lolita
 • Kizungunguzu
 • Mume Bwege
 • Nahama
 • Shuga Mammy,
 • Ndoa ya Utata
 • Babatan
 • Back from New York
 • Brothers
 • Mpela
 • Tupo Wangapi
 • Gereji
 • Out Side
 • Mtu Mzima Hovyo
 • Talaka Yangu
 • Uso wa Mbuzi
 • Mwizi wa Kuku
 • Pusi na Paku
 • Daladala
 • Alosto
 • Shikamoo Mzee
 • Utanibeba
 • Juu kwa Juu
 • Seaman
 • Mrithi Wangu
 • Swagger
 • Utani
 • Karaha
 • Boss
 • Faithful
 • Msela wa Manzese
 • Embe Dodo


                                     
 • Shule huku akiwa amewashirikisha wakina Majuto Kingwendu nawachekeshaji wengine wanaotamba sasa nchini Tanzania. Mzee Small anamiliki kundi lake la sanaa
 • kucheza sinema ya vichekesho inayoitwa Mzee Chabo. Alicheza nafasi ya msichana anayechunguliwa na Mzee Majuto Baada ya kujiunga na kundi la Alwatan amefanikiwa
 • imeshatengeneza filamu nyingi zikiwemo Baija iliyoigizwa na wasanii maarufu kama MZEE MAJUTO NIVA na wengine.Filamu nyingine ni NAJUTA KUPENDA iliyoigizwa na RIAMA
 • Mwinyi Aboud Jumbe Mwinyi Kazimoto Mwita Mwikwabe Waitara Mzee Majuto Mzee Ngwali Zubeir Mzee Small Mzeru Omari Nibuka Mzungu Kichaa Nadir Haroub Ali Naghenjwa
 • alipoanza kufahamika, na akapewa nyimbo kama Jongoo Acha Makuu, Mpenzi Amini, Majuto Yamenipata. Sifa zake zikaanza kuenea Afrika Mashariki. Mwaka 1972 tajiri
 • Lakini Mungu aweza kuwapandikiza tena... Kwa sababu karama za Mungu hazina majuto wala mwito wake Rom 11: 23, 29 Kanisa limepewa na Yesu wahudumu wenye
 • kuwa baba yake alikuwa mwarabu, Ushirika wa waarabu wa Mombasa walimtaarifu mzee huyo kuhusu alipo mwanae na alimfuata na kumrudisha Morogoro. Salum Abdallah

Users also searched:

...