Back

ⓘ Somalia ya Kiingereza
Somalia ya Kiingereza
                                     
ⓘ Somalia ya Kiingereza

Somalia ya Kiingereza ilikuwa eneo lindwa la Uingereza katika Somalia ya Kaskazini.

Eneo lake lilikuwa tangu 1961 sehemu ya Jamhuri ya Somalia na tangu 1991 limekuwa kwa kiasi kikubwa Jamhuri ya Somaliland, nchi isiyotambuliwa na umma wa kimataifa lakini yenye tabia zote za nchi huru.

1. Historia

Vita Kuu ya Pili ya Dunia

Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia eneo likatwaliwa na Italia katika Agosti 1940 lakini lilichukuliwa tena na Uingereza katika Machi 1941.

Uhuru na muungano

Uhuru ulipatikana tarehe 26 Juni 1960, lakini tarehe 1 Julai kulitokea muungano na Somalia ya Kiitalia iliyokuwa imepata uhuru wake pia.

Nchi ya pekee

Baada ya kuporomoka kwa serikali ya Somalia, sehemu kubwa ya eneo la Somalia ya Kiingereza la awali ikatangaza uhuru wake mnamo 18 Mei 1991 kama Jamhuri ya Somaliland.

1.1. Historia Upinzani wa Mohammed Abdullah Hassan

Hata kama Uingereza haukuwa na nia ya kuingilia mno maisha ya wenyeji ulikutana na upinzani mkali kuanzia mwaka 1899 kutoka kwa kiongozi wa dini Mohammed Abdullah Hassan, aliyeitwa na Waingereza "Mullah majununi". Waingereza walijibu kwa ukatili katika vita vya miaka 20 iliyoua takriban theluthi moja ya wakazi wote wa eneo.

Mwishowe Uingereza iliweza kumaliza upinzani kwa teknolojia mpya ya eropleni za kijeshi zilizotumia mabomu na bunduki za mtombo kutoka angani kwa mara ya kwanza katika Afrika.

1.2. Historia Vita Kuu ya Pili ya Dunia

Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia eneo likatwaliwa na Italia katika Agosti 1940 lakini lilichukuliwa tena na Uingereza katika Machi 1941.

1.3. Historia Uhuru na muungano

Uhuru ulipatikana tarehe 26 Juni 1960, lakini tarehe 1 Julai kulitokea muungano na Somalia ya Kiitalia iliyokuwa imepata uhuru wake pia.

1.4. Historia Nchi ya pekee

Baada ya kuporomoka kwa serikali ya Somalia, sehemu kubwa ya eneo la Somalia ya Kiingereza la awali ikatangaza uhuru wake mnamo 18 Mei 1991 kama Jamhuri ya Somaliland.

Users also searched:

...
...
...