ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 94
                                               

Wanyamapori nchini Tanzania

Wanyamapori ni aina ya jamii ya wanyama ambao hawafugwi na binadamu na wanaishi katika makazi yao porini. Wanyamapori wanaweza kupatikana katika mazingira yoyote: jangwa, misitu, misitu ya mvua, tambarare na maeneo mengine, yakiwa ni pamoja na ma ...

                                               

Mbuga wa safari

Mbuga wa safari ni aina ya zoo penye wanyama wa pori lakini yenye eneo kubwa ambako watu wanaweza kutembea kwa magari kati ya wanyama walio ndani ya vifungo vyao. Hii ni tofauti na zoo za kawaida ambako watalii wanatembea kwenye njia kati ya vifu ...

                                               

Chuo cha Kianda

Chuo cha Kianda huko Nairobi, Kenya ilikuwa ya kwanza kuchukuwa wanafunzi wasichana wa asili tofauti katika Afrika Mashariki. Ilianzishwa na Kianda Foundation mwaka 1977 na wanafunzi 40, kufuatia mahitaji kutoka wanafunzi wa kitambo wa Kianda Sec ...

                                               

Muungano wa mabenki ya Equity

Muungano wa mabenki ya equity ni shirika la kifedha katika Afrika Mashariki. Makao makuu yamo mjini Nairobi, Kenya, pamoja na matawi nchini Kenya, Uganda, Rwanda na Sudan Kusini.

                                               

Hoteli za Serena

Hoteli za Serena ni mnyororo wa Hotelii zinazoendeshwa nchini Afghanistan, Kenya, Msumbiji, Pakistan, Rwanda, Tanzania na Uganda. Ni mojawapo wa makampuni 96 yanayounda Aga Khan Fund for Economic Development, sehemu ya Aga Khan Development Networ ...

                                               

Kampuni ya Sukari ya Mumias

Kampuni ya Sukari ya Mumias ni kampuni ya sukari nchini Kenya. Ina makao yake makuu mjini Nairobi na operesheni zake katika mji wa Mumias. Jina lake hufupishwa kuwa MSC. Mumias imesajiliwa katika Soko la Hisa la Nairobi. Mumias hufanya kazi ya ut ...

                                               

Kenya Power and Lighting Company

Wala haifai kuhusishwa na Kenya Electricity Generating Company Kenya Power and Lighting ni kampuni inayohusika na maambukizi ya umeme na usambazaji wa umeme nchini Kenya. KPLC ni kampuni ya kitaifa ya shirika la umeme inayosimamia upimaji wa mita ...

                                               

Rhino Charge

Rhino Charge ni tukio la kila mwaka, linalifanyika nchini Kenya, ambalo washindani wana kushindana kwenye njia mbaya wakitumia magari ya aina ya 4x4. Fedha zote zinazokusanywa hupewa chama cha Rhino Ark, ambacho husaidia kuhifadhi eneo la Aberdar ...

                                               

Shirika la Viwango Katika Kenya

Shirika la Viwango Katika Kenya, linalojulikana kwa kawaida kwa Kiingereza kama Kenya Bureau of Standards ni shirika la serikali ambalo kudumisha viwango na mazoea ya metrologi nchini Kenya. Lilianzishwa kutokana na Sheria ya Bunge la Kenya, sher ...

                                               

Shule ya Upili ya Kisii

Ilianzishwa mnamo 1932 na muungano wa Young Kavirondo Association. Ilikuwa moja kati ya Shule tatu za K zilizoanzishwa na Waafrika wakati wa Ukoloni. Shule hizi ni: Shule ya Wavulana ya Kakamega na Shule ya Kagumo mkoani Kati Shule ya Kisii Shule ...

                                               

Zenji Flava

Zenji Flava ni jina maarufu la muziki wa hip hop kutoka Zanzibar. Aina hii ya muziki ilianza mwanzoni mwa miaka ya 1990. Jina linajengwa na nenomsimu la Kiunguja maarufu kama Zenji, yaani "Zanzibar", na flava, ambayo imetokana na mvurugo wa neno ...

                                               

Kitabu cha Amosi

Kitabu cha Amosi ni kimojawapo kati ya vitabu vya Tanakh, na kwa hiyo pia ya Agano la Kale, sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukie ...

                                               

Kitabu cha Baruku

Kadiri ya utangulizi wake Bar 1:1-14, kiliandikwa na Baruku, karani wa nabii Yeremia, wakati wa uhamisho wa Wayahudi huko Babuloni katika karne ya 6 K.K. Hata hivyo wataalamu wanaona kiliandikwa katika karne ya 2 K.K. moja kwa moja katika lugha y ...

                                               

Kitabu cha Danieli

Kitabu cha Danieli ni kimojawapo kati ya vitabu vya Tanakh yaani Biblia ya Kiebrania ambamo kimo katika kundi la tatu na la mwisho, Ketuvim). Awali kiliandikwa katika lugha mbili: Kiebrania na Kiaramu. Kimepokea jina lake kutokana na mhusika wake ...

                                               

Kitabu cha Esta

Kitabu cha Esta ni kitabu cha Biblia ya Kiebrania, na hivyo pia cha Agano la Kale, ambalo ni sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo. Kiliandikwa kwanza kwa Kiebrania. Tafsiri ya kitabu cha Esta inavyopatikana katika Septuaginta imeongezewa sana; ...

                                               

Kitabu cha Ezekieli

Kitabu cha Ezekieli kinamhusu mmojawapo kati ya manabii muhimu zaidi wa Agano la Kale, Ezekieli, aliyefanya kazi ya unabii miaka 592-570 hivi K.K., kadiri ya ushahidi wa kitabu chake. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kiso ...

                                               

Kitabu cha Hagai

Kitabu cha Hagai ni kimojawapo kati ya vitabu 12 vya Manabii wadogo ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda Tanakh, yaani Biblia ya Kiebrania. Hivyo ni pia sehemu ya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia ...

                                               

Kitabu cha Hekima

Kitabu cha Hekima au Hekima ya Solomoni ni cha mwisho kuandikwa katika ya vitabu vya deuterokanoni vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Hupangwa kati ya vitabu vya hekima, kichwa chake kinavyodokezwa. Kama vitabu vyote vya Biblia, hiki pi ...

                                               

Kitabu cha Hosea

Kitabu cha Hosea ni kimojawapo kati ya vitabu vya Tanakh, na hivyo pia vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Kwa kuwa kina sura 14 tu, kimepangwa tangu zamani za kale kati ya vitabu 12 vya Manabii Wadogo. Hata hivyo umuhimu wake katika mae ...

                                               

Hotuba ya mlimani

Hotuba ya mlimani ni hotuba maarufu ya Yesu kwa umati mkubwa uliomkusanyikia katika mlima fulani wa Galilaya. Inatunza maadili maalumu ya Ukristo kulingana na yale ya Uyahudi, hasa ya Mafarisayo na walimu wa sheria ya Musa. Kiini chake kinafanana ...

                                               

Kitabu cha Isaya

Kitabu cha Isaya kinashika nafasi ya kwanza kati ya vitabu vya kinabii vya Tanakh na vya Agano la Kale ambayo ndiyo sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo.

                                               

Kitabu cha Pili cha Wafalme

Zamani kilikuwa kitabu kimoja na Wafalme I lakini katika tafsiri ya Septuaginta kiligawiwa. Wataalamu huamini hii ilitokana na urefu wa kitabu, si kwa sababu za yaliyomo au mpangilio. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kiso ...

                                               

Kitabu cha Yeremia

Kitabu cha Yeremia ni kimojawapo kati ya vitabu vya kinabii vilivyo virefu zaidi katika Tanakh, na kwa hiyo pia katika Agano la Kale ambalo ni sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisom ...

                                               

Kitabu cha Yoshua

Kitabu cha Yoshua ni cha sita kati ya vitabu vya Tanakh na vya Agano la Kale katika Biblia ya Ukristo. Kitabu hicho chenye sura 24 kinatupasha habari za uvamizi wa nchi takatifu ambao Waisraeli waliufanya chini ya Yoshua, ambaye ni mfano wa Yesu ...

                                               

Kitabu cha Wamakabayo I

Kitabu cha kwanza cha Wamakabayo ni kimojawapo kati ya vitabu vya deuterokanoni vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Kinasimulia jinsi Wayahudi, wakiongozwa na familia ya Wamakabayo, walivyopambana kwanza na mfalme Antioko IV aliyejiita A ...

                                               

Kitabu cha Wamakabayo II

Kitabu cha pili cha Wamakabayo ni kimojawapo katika ya vitabu vya deuterokanoni vya Agano la Kale katika Biblia ya Kanisa Katoliki na ya Waortodoksi wengi. Sawa na Kitabu cha Wamakabayo I kinasimulia upiganaji uhuru wa Wayahudi wakiongozwa na fam ...

                                               

Kitabu cha Malaki

Kitabu cha Malaki ni cha mwisho kati ya vitabu 12 vya Manabii wadogo ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda Tanakh, yaani Biblia ya Kiebrania. Hivyo ni pia sehemu ya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo, na kwa kuwa humo vitabu vya manabii ...

                                               

Maombolezo (Biblia)

Kitabu cha Maombolezo ni kama nyongeza ya kitabu cha nabii Yeremia katika Tanakh na hivyo pia katika Agano la Kale iliyo sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo. Kichwa chake kinadokeza kwamba ni mashairi matano ya uchungu kuhusu maangamizi ya Yer ...

                                               

Meriba

Meriba ni kituo kimojawapo cha safari ya Waisraeli kutoka Misri hadi Kanaani chini ya Musa ambayo inasimuliwa kirefu na Torati. Katika Kutoka Biblia, Meriba inatajwa pia kama Masa, ingawa madondoo mengine yanadokeza kwamba ni mahali tofauti k.mf. ...

                                               

Kitabu cha Methali

Kitabu cha Mithali kimo katika Tanakh, hivyo pia katika Agano la Kale la Biblia ya Kikristo ambamo ni cha kwanza kati ya vitabu vya hekima.

                                               

Kitabu cha Mika

Kitabu cha Mika ni kimoja kati ya vitabu 12 vya Manabii wadogo ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda Tanakh. Hivyo ni pia sehemu ya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe ka ...

                                               

Kitabu cha Nahumu

Kitabu cha Nahumu ni kimojawapo kati ya vitabu 12 vya gombo la Manabii wadogo katika Tanakh na kwa hiyo pia katika Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo.

                                               

Kitabu cha Obadia

Kitabu cha Obadia ni kifupi kuliko vyote vya Tanakh, na vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Ni cha nne kati ya vitabu 12 vya Manabii Wadogo. Ni ukurasa mmoja tu wenye aya 21 ulioandikwa na nabii Obadia katika karne VI K.K. dhidi ya Waedo ...

                                               

Pishon

Pishon ni mmojawapo ya mito minne, Phrath na Gihon) iliyotajwa katika Kitabu cha Mwanzo cha Biblia. Katika kifungu hiki, mito hii inaelezwa kama inatokea ndani ya bustani ya Edeni. Pishon inaelezewa kuwa inazunguka "nchi nzima ya Havilah.

                                               

Kitabu cha Ruthu

Kitabu cha Ruthu ni kimojawapo kati ya vitabu vifupi vya Biblia ya Kiebrania, kwa hiyo pia ya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Ni kati ya vile vichache vilivyo na jina la mwanamke ambaye ndiye mhusika mkuu wa habari. Kama vitabu vingine v ...

                                               

Samueli I

Kitabu cha kwanza cha Samueli kilikuwa sehemu ya kwanza ya Kitabu cha Samweli katika Tanakh kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake. Kuanzia tafsiri ya kwanza ya Kigiriki inayojulikana kama Septuaginta na vilevile katika Agano la K ...

                                               

Samueli II

Kitabu cha pili cha Samueli kilikuwa sehemu ya pili ya Kitabu cha Samweli katika Tanakh kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake. Kuanzia tafsiri ya kwanza ya Kigiriki inayojulikana kama Septuaginta, halafu katika Agano la Kale la B ...

                                               

Kitabu cha Sefania

Kitabu cha Sefania ni kimojawapo kati ya vitabu vya Tanakh, hivyo kinapatikana pia katika Agano la Kale ambalo ni sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo. Kutokana na ufupi wake kimepangwa tangu kale kati ya vitabu 12 vya Manabii Wadogo.

                                               

Kitabu cha Tobiti

Kitabu cha Tobiti ni kimojawapo kati ya vitabu vya deuterokanoni vya Biblia ya Kikristo. Nakala zilizopatikana katika mapango ya jumuia ya Waeseni huko Qumran zinaonyesha kuwa kitabu hicho kiliandikwa kwanza kwa Kiaramu miaka 200 KK hivi na kutaf ...

                                               

Vitabu vya Unabii wa Awali

Vitabu vya Unabii wa Awali ni vitabu 4 vya Thanak ambavyo katika Biblia ya Kikristo vimegawiwa na kuhesabiwa 6. Ni kwamba Waisraeli waligawanya vitabu vyao vya unabii katika sehemu mbili zilizoitwa Vitabu vya Unabii wa Awali, na Vitabu vya Unabii ...

                                               

Vitabu vya Unabii wa Baadaye

Vitabu vya Unabii wa Baadaye ni vitabu 4 vya Thanak ambavyo katika Biblia ya Kikristo vimegawiwa na kuhesabiwa 15. Ni kwamba Waisraeli waligawanya vitabu vyao vya unabii katika sehemu mbili zilizoitwa Vitabu vya Unabii wa Awali, na Vitabu vya Una ...

                                               

Kitabu cha Kwanza cha Wafalme

Zamani kilikuwa kitabu kimoja na Wafalme II lakini katika tafsiri ya Septuaginta kitabu kiligawiwa pande mbili. Wataalamu huamini hii ilitokea kutokana na urefu wa kitabu, si kwa sababu ya yaliyomo au ya mpangilio wake. Kama vitabu vingine vyote ...

                                               

Wimbo Ulio Bora

Wimbo Ulio Bora, ni kitabu kimojawapo cha Tanakh na hivyo pia cha Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ...

                                               

Kitabu cha Yobu

Kitabu cha Yobu ni kati ya vitabu vya hekima katika Biblia ya Kiebrania, hivyo pia cha Agano la Kale ya Biblia ya Kikristo. Miongoni mwa aina nyingi za vitabu vya Biblia vipo hivyo vinavyojulikana kuwa vitabu vya hekima. Kati ya vitabu hivyo, pam ...

                                               

Kitabu cha Yoeli

Kitabu cha Yoeli ni kimojawapo kati ya vitabu 12 vya Manabii wadogo ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda Tanakh. Hivyo ni pia sehemu ya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisom ...

                                               

Kitabu cha Yona

Kitabu cha Yona ni kimojawapo kati ya vitabu vinavyounda Tanakh, kwa hiyo pia Agano la Kale, sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo.

                                               

Kitabu cha Yoshua bin Sira

Kitabu cha Yoshua bin Sira ni kimojawapo kati ya vitabu vya deuterokanoni vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Mwandishi alikuwa Myahudi wa Yerusalemu aliyetunga kitabu chake kwa Kiebrania mnamo miaka 196 KK - 175 KK huko Aleksandria Misr ...

                                               

Kitabu cha Yuditi

Kitabu cha Yudith ni kimojawapo kati ya vitabu vya deuterokanoni vya Biblia ya Kikristo. Kimo katika Septuaginta na katika Agano la Kale la Kanisa Katoliki, la Waorthodoksi wengi na la baadhi ya Waprotestanti, lakini si katika Tanakh ya Uyahudi w ...

                                               

Kitabu cha Zaburi

Kitabu cha Zaburi ni kimojawapo kati ya vitabu vya Tanakh na kwa hiyo pia vya Agano la Kale ambalo ni sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ...

                                               

Kanisa Katoliki la Kisiria la Malankara

Kanisa Katoliki la Kisiria la Malankara ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Antiokia na kutumia liturujia ya Antiokia, lakini linapatikana hasa India ku ...