ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 264
                                               

Maili

Maili ni kipimo cha urefu. Si kipimo sanifu cha kimataifa SI bali ni kizio cha vipimo vya Uingereza. Zamani ilitumiwa sana lakini siku hizi matumizi yamepungua sana. Maili si kipimo sanifu cha kimatifa hivyo urefu wa maili moja ni tofauti kati ya ...

                                               

Milimita

Milimita ni sehemu ya 1000 ya mita moja. Ni sawa na sehemu ya kumi ya sentimita moja. Millimita mm: Millimita ni sehemu ya kumi ya sentimita moja; sentimita ina millimita kumi, mita ina millimita elfu moja. Ndani ya milimita kuna mikromita µm 1.0 ...

                                               

Sentimita

Sentimita ni kipimo cha urefu. Ni sawa na sehemu ya mia moja au asilimia moja ya urefu wa mita ambayo ni kipimo cha kimataifa cha SI. Kipimo cha kulingana kwa eneo ni sentimita ya mraba cm². Sentimita si kiwango rasmi katika utaratibu wa SI, laki ...

                                               

Kilotani

Kilotani ni kipimo kinachotaja tani 1.000. Tani ni kipimo cha SI cha masi. Mara nyingi hutumiwa kwa kutaja nguvu ya mlipuko wa bomu la nyuklia. Bomu la kwanza la aina hii lililipuka tarehe 16 Julai 1945 karibu na Los Alamos Marekani likawa jaribi ...

                                               

Megatani

Megatani ni kipimo kinachotaja milioni 1 za tani. Tani ni kipimo cha SI cha masi. Mara nyingi hutumiwa kwa kutaja nguvu ya mlipuko wa bomu la nyuklia. Mlipuko mkubwa kabisa wa bomu la nyuklia katika historia ilitokea mwaka 1961 kwenye kisiwa cha ...

                                               

Femtomita

Femtomita ni kipimo cha SI cha kutaja urefo mdogo wa 10 −15 mita. Kipimo hiki hutumiwa kwa kutaja vipimo katika fizikia ya atomi na chembe zake. Kipenyo cha protoni ni takiban femtomita 1.7. Kipenyo cha kiini cha atomi cha dhahabu ni takriban fem ...

                                               

Nanomita

Kipimo hiki hutumiwa kwa kutaja vipimo katika fizikia ya atomi na molekuli, pia katika biolojia kwa vipimo vya kiini cha seli na jenetikia. Kipenyo cha atomi ya heli ni takriban 0.1 nm; virusi nyingi vina kipenyo cha baina 20 nm na 300 nm. Nanomi ...

                                               

Paskali

Paskali ni kipimo cha SI kwa kanieneo au shinikizo. Inataja kani au nguvu inayoathiri eneo fulani ikiwa ni sawa na nyutoni kwa mita 1 ya mraba. Jina lake lilichaguliwa kwa heshima ya mwanafizikia na mwanahisabati Mfaransa Blaise Pascal. Katika ma ...

                                               

Pauni

Pauni, pia paoni ni jina la uzani wa ratili moja au takriban gramu 500. Jina hili limetokana na Kiingereza pound. Wakati wa ukoloni chini ya mfumo wa vipimo rasmi vya Uingereza wakati ule "pound" ilikuwa kipimo rasmi kilicholingana na gramu 454. ...

                                               

Blogger (huduma)

Blogger.com ni huduma ya kupeleka blogu kwenye intaneti ambayo inaruhusu blogu za watumiaji mbalimbali na viingilizi vya muda. Ilianzishwa na Pyra Labs, ambayo ilinunuliwa na Google mwaka 2003. Blogs ni mwenyeji na Google na kwa ujumla kupatikana ...

                                               

Google

Google ni tovuti kwenye mtandao inayotumika kutafuta kurasa na habari za kila aina. Inatumia programu inayoitwa "mashine ya kutafuta". Jina Google limetokana na neno Googol linalomaanisha tarakimu 1 inayofuatwa na sifuri 100. Imepata mafanikio ma ...

                                               

IRC

Internet Relay Chat ni aina ya mawasiliano ya papo kwa hapo kupitia mtandao wa Intaneti. Teknolojia hii imeundwa hususan kwa ajili ya mawasiliano ya watu wengi kwa wakati mmoja, lakini pia mawasiliano ya mtu mmoja kwa mmoja yanawezekana. Teknoloj ...

                                               

Kuki

Kuki ni tafsiri ya muda ya neno la Kiingereza cookie. Maana yake asili ni biskuti au keki ndogo, lakini neno la kuki linatumika ili kompyuta yenye kurasa za tovuti iweze kuwasaliana na watazamaji. Programu za tovuti hizi inahifadhi habari kadhaa ...

                                               

Orodha ya mitambo ya utafutaji

Hii ni orodha ya makala za Wikipedia kuhusu mitambo ya utafutaji, ikiwemo mitambo ya kutafuta mitandao,mitambo inayotafuta kwa kuchagua, vifaaa vya kutafuta ukitumia ujumuishaji wa maneno, vifaaa vya kutafuta katika kompyuta yako binafsi na vifaa ...

                                               

Spam

Spam ni neno la Kiingereza linalomaanisha usambazaji wa idadi kubwa ya habari zisizotafutwa na wapokeaji, hasa kwa njia ya intaneti, baruapepe na njia nyingine za kidijitali. Watu wanaosambaza spam mara nyingi huitwa kwa neno la Kiingereza "spammer".

                                               

Variable (uhandisi wa programu)

Variable ni mahali katika RAM penye anwani panapo idadi kadhaa ya habari iitwayo value. Variables za kompyuta programming hazilazimiki kuwa variables za mhisabati. Value ya variable ya kompyuta hailazimiki kuwa sehemu ya mlinganyo au fomyula kama ...

                                               

Toyota Caldina

Toyota Caldina ni gari iliyoundwa na Toyota kwa ajili soko la Kijapani na ilitolewa katika mwaka wa 1992. Ilichukua nafasi ya Toyota Carina Surf. Hata kama Caldina haijawahi kuuzwa kirasmi na Toyota nje Japan, uwezo wake wa 4WD ukubwa wake umefan ...

                                               

Toyota Fortuner

Toyota Fortuner ni gari aina ya pickup inayo makao ya abiria inayotengenezwa na kampuni ya magari ya Toyota ya Ujapani kwa ajili ya baadhi masoko ya Asia, Afrika na Amerika ya Latin. Iliyounganishwa nchini India, Thailand, Afrika ya Kusini na Ame ...

                                               

Toyota Hiace

Toyota Hiace ni aina ya gari inayoundwa na kampuni ya Ujapani ya Toyota. Tangu ilipozinduliwa mwaka wa 1967, Hiace imekuwa ikipatikana katika mifumo mingi, pamoja na matatu ndogo na basi ndogo, matatu, pick-up, teksi, abulensi na gari ya nyumbani ...

                                               

Toyota Mark X

Mark X Japanese: トヨタ・マークX gari yenye ukubwa wa kawaida iliyotengenezwa na Toyota kwa soko la Kijapani. Mark X ilianzishwa mwaka wa 2004 na inaundiwa katika Kanegasaki, Iwate, Ujapani. Pia huuzwa katika Uchina kama Reiz, ni inapatikana kwa ...

                                               

Toyota WILL

Toyota WILL ni mfululizo wa pekee wa magari ya kampini ya Toyota ulioanzishwa kwa kuhudumia masoko yaliyo nje ya masoko ya kawaida ya kampuni hii. Huwa na magari aina tatu ya kibinafsi, kwa kuzingatia ufundi wa Toyota. Mtindo huu ulitengenezewa m ...

                                               

Nissan X-Trail

Nissan X-Trail ni gari thabiti aina ya SUV iliyoundwa na kampuni ya gari ya Kijapani ya Nissan tangu mwaka wa 2001 hadi 2014. Ni aina ya kwanza ya Nissan ya toleo la SUV na wakati makampuni kadhaa yalikuwa yakianzisha madari ya kompakt SUV ambayo ...

                                               

Lori

Lori ni motokaa kubwa ya kubeba mizigo ya kila aina. Kutokana na ukubwa wake lori mara nyingi husukumwa na injini ya diseli.

                                               

Mitsubishi Fuso Canter

Mitsubishi Fuso Canter ni moja ya magari madogo ya kibiashara uiliyoundwa na Kampuni ya Mitsubishi Fuso ya lori na basi. Aina hii ya lori ilipatikana katika Ujapani na baadhi ya nchi nyingine za Asia, ingawa pia iliuzwa katika Marekani mwishoni w ...

                                               

Mitsubishi Fuso Fighter

Mitsubishi Fuso Fighter ni jamii ya gari ya biasharaya magari ya Mitsubishi Fuso. Ilipatikana katika aina ya malori makubwa na malori ya ukubwa wa wastani. Mengi ya malori makubwa na yenye ukubwa wa wastani yana alama ya Fighter mbele ya lorie, l ...

                                               

Maji ya chumvi

Maji ya chumvi ni maji yenye kiasi cha myeyusho wa chumvi ndani yake. Kwa kawaida kila aina ya maji huwa na kiwango cha chumvi iliyoyeyushwa. Mwili wa binadamu huwa na kiasi cha chumvi ndani yake kwa hiyo hatusikii chumvi kidogo katika maji au ch ...

                                               

Ukavu

Ukavu ni hali ya kukauka, pasipo na unyevu au maji kwa hali ya kiowevu au mvuke. Ilhali viumbe vyote duniani hutegemea kuwepo kwa maji, ukavu si mazingira yanayoruhusu kustawi kwa uhai. Jangwa ni mazigira kavu, na ukavu wake yaani ukosefu wa maji ...

                                               

Nokia 1100

Nokia 1100 ni simu madhubuti iliyotengenezwa na Nokia. Imelengewa nchi ambazo bado zinaendelea na watumizi ambao hawahitaji vifaa vingi kwenye simu zao ila ya uwezo wa kupiga simu, kutuma ujumbe mfupi, saa, n.k. Simu ya 1100 inafanana na Nokia 32 ...

                                               

Nokia 1110

Simu ya Nokia 1110 na Nokia 1110i ni simu zilizotengenezwa na kampuni ya Nokia na 1110 ilitolewa mnamo 2005; na 1110i ikatolewa mnamo 2006. Simu hizi zilitengenezwa kwa makusudio ya kutumiwa na watu wenye maisha duni na ambao hawajawahi kutumia s ...

                                               

Nokia 3310

Simu ya Nokia 3310 ni simu iliyotolewa mnamo 2000. Ilipata mafaniki mazuri kote duniani, kwani iliuza nakala milioni 126. Toleo zingine zinazofanana na 3310 zimetolewa, zikiwemo Nokia 3315, 3320, 3330, 3350, 3360, 3390 and 3395.

                                               

Steers

Steers ni hoteli ya huduma ya haraka kutoka Afrika Kusini. Hasa inauza burgers za nyama na kukuwa kuchoma na vinywaji laini Chip sundries na mengine. Steers ilianzishwa mwaka wa 1960 wakati muasisi wa kampuni, George Halamandaris, alitembelea Mar ...

                                               

Atlantis, The Palm

Atlantis, The Palm ni hoteli iliyomo Palm Jumeirah mjini Dubai. Hoteli hii inamilikiwa na washirika wawili: Kerzner International Limited na Istithmar PSJC. Ilifunguliwa tarehe 24 Septemba 2008. Hoteli hii inafanana na Atlantis, Paradise Island m ...

                                               

Chuo Kikuu cha Egerton

Egerton University ni chuo kikuu cha umma; kampasi kuu iko Njoro, karibu na mji wa Nakuru, Kenya. Chansela ni Balozi Bethwell Kiplagat na makamu wa chansela ni Profesa JK Tuitoek.

                                               

Chuo Kikuu cha Kabarak

Chuo Kikuu cha Kabarak ni taasisi ya Kikristo ipo kilomita ishirini kutoka Nakuru, Kenya katika barabara ya Nakuru-Eldama Ravine.

                                               

Chuo Kikuu cha Mekelle

Chuo Kikuu cha Mekelle kiko Kaskazini mwa Ethiopia, katika umbali wa kilomita 783 kutoka mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa. Chuo hiki kina Kampasi tatu ndani ya mji wa Mekele, kampasi ya Endayesus,kampasi ya Adi Haki, na kampasi ya Aida. Kampasi ...

                                               

Coast to Coast

Coast to Coast ni albamu ya pili kutoka kwa vijana Kieire, Westlife. Albamu ilitoka tar. 6 Novemba 2000, chini ya studio ya RCA. Lakini albamu hii ilitolewa tena ndani ya vijiboksi ndani ya Albamu yao ya World of Our Own mara ya mwisho tar. 25 Ja ...

                                               

Do You Know

Do You Know ni studio albamu ya tano ya mwimbaji wa Marekani na nyota wa Reality TV Jessica Simpson. Ilitolewa mnamo 9 Septemba 2008 na ilikuwa jaribio lake la kwanza kuvuka kuingia katika mwenendoo wa country. Mtunzi wa nyimbo Brett James alitay ...

                                               

Google Earth

Google Earth ni programu ya habari kuhusu dunia isiyokuwa bayana, ramani na habari ya kijiografia ambayo awali iliitwa EarthViewer 3D, na iliundwa na Keyhole, Inc, kampuni iliyonunuliwa na Google mwaka wa 2004. Inatengeza ramani ya dunia kwa kupa ...

                                               

Huduma ya Kangaroo

Huduma ya Kangaroo ni huduma inayofanyiwa watoto wachanga, ambao huzaliwa kabla ya muda wa ujauzito kukamilika, watoto huguzishwa moja kwa moja na ngozi ya mtu mzima. Huduma ya Kangaroo kwa watoto ambaohuzaliwa kabla ya muda wa ujauzito kukamilik ...

                                               

Jogoo

Jogoo, ni kuku wa kiume. Kuku wa kiume wale wachanga wenye umri chini ya mwaka mmoja anaitwa jogoo mdogo. Jina Kongwe ni "cock," kutoka jina la Kiingereza ya zamani, coc. Wakati mwingine jina hili hubadilishwa na jina "cockerel" hutumiwa nchini U ...

                                               

Jumeirah

Jumeirah ni mnyonyoro wa hoteli za anasa za kimataifa na sehemu ya Dubai Holding, ambayo inamilikiwa na Serikali ya Dubai. Jina lake linaitwa Jumeirah. Mali ya Jumeirahni kama Burj Al Arab na Jumeirah Emirates Towers, ambayo ni hoteli ya tatu kat ...

                                               

Simba wa Yuda

Katka Uyahudi, Biblia ya Yuda katika Kiyahudi: Yehuda ni jina la asili ya kabila ya Yuda - iliyoashiriwa kijadi na alama ya simba. Katika kitabu cha Mwanzo, Yakobo "Israel" anamwashiria mwana wake Yuda kama Gur Aryeh גּוּר אַרְיֵה יְהוּדָה, ett " ...

                                               

Mnyoo-matumbo Mkubwa

Mnyoo-matumbo mkubwa au mnyoo kwa ufupi ni aina ya nematodi mkubwa ambaye anaishi katika matumbo ya binadamu na anasababisha ugonjwa uitwao minyoo. Inakadiriwa kwamba karibu ya robo ya idadi ya watu duniani wameathiriwa na ugonjwa huu, na hasa um ...

                                               

Morgan Heritage

Morgan Heritage ni bendi ya rege liliyoundwa na watoto watano msanii wa rege Denroy Morgan. Kutokana na wao kukulia katika studio ya baba yao huko Marekani, kundi la idadi ya jumla ya watoto wanane walihudhuria kwa mara ya kwanza kwenye tamasha l ...

                                               

Mto Foyle

Mto Foyle ni mto katika magharibi mwa Ulster, kaskazini magharibi mwa kisiwa cha Ireland, ambao unaanza kutoka makutano ya mito Finn na Mourne katika miji ya Lifford katika kata ya Donegal, Jamhuri ya Ireland, na Strabane katika kata ya Tyrone, I ...

                                               

Mungiki

Mungiki ni kundi la kisiasa-dini na ni shirika la kihalifu lililopingwa marufuku nchini Kenya. Jina hile linamaana ya "umoja wa watu" au "umati" katika lugha ya Kikuyu. Dini hii, ambayo aghalabu ilianza katika miaka ya 1980, ni ya kisiri na hukuz ...

                                               

Palm Jumeirah

Palm Jumeirah ni kisiwa kilichoumbwa na binadamu kwa kutumia mtindo wa kurejesha arhi na kampuni ya Nakheel, kampuni inayomilikiwa na serikali ya Dubai. Ni moja ya visiwa tatu iitwayo Visiwa vya Palm ambavyo vimepanua ndani ya Ghuba ya Persia kuo ...

                                               

PCD

PCD ni albamu ya kwanza ya kundi la wanamuziki: Pussycat Dolls, iliyotolewa mnamo 13 Septemba 2005 nchini Marekani. Albamu hii ilipata mafanikio kwa kuuza zaidi ya nakala milioni saba kote duniani. Albamu hii ilipata mauzo ya nakala 536.340 nchin ...

                                               

Tagged

Tagged.com ni mfumo wa mtandao wa kijamii ulioanzishwa mnamo 2004. Tagged ni mojawapo ya mitandao inayozua malalamiko kutoka kwa wateja kwa kupokea barua pepe za uwongo Afisi kuu iko San Francisco, Kalifonia, Marekani.

                                               

Taifa Stars

Timu ya taifa ya Tanzania chini ya chama cha soka cha Tanzania TFF inaiwakilisha Tanzania katika soka ya kimataifa. Uwanja wa taifa wa Tanzania unafahamika kwa jina la Benjamin Mkapa National Stadium iliopo jijini Dar-es-Salaam na Kocha mkuu kwa ...