ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 263
                                               

Taiga

Taiga ni jina la maeneo makubwa ya misitu kaskazini mwa dunia inayofanywa na aina mbalimbali ya miti ya misunobari, katika Eurasia pia pamoja na mibetula. Takriban 29% za misitu yote duniani ni aina ya taiga. Taiga inafunika sehemu kubwa za Alask ...

                                               

Chanzo (mto)

Chanzo cha mto ni mahali ambako mto huu unaanza. Mara nyingi ni chemchemi yaani mahali ambako maji yaliyokusanyika chini ya ardhi yanatoka nje na kuonekana kwenye uso wa ardhi. Kwa mito mingine inaweza kuwa mahali ambako mito miwili inaungana na ...

                                               

Delta ya barani

Delta ya barani ni eneo nchini na mbali na bahari ambapo mto unapanuka kwa umbo la delta. Kupanuka huku kunatokea kama mto unafika penye mtelemko mdogo kama tambarare au beseni. Kutokana na uhaba wa mtelemko kasi ya maji inapungua na mashapo yana ...

                                               

Midomo

Midomo ni sehemu za kinywa zinazokifunga na kukifungua. Takriban vertebrata wote wana midomo na wanyama wengine pia, hata wadudu wengi. Kwa lugha ya kila siku neno" mdomo” mara nyingi ni kisawe cha kinywa. Midomo ni miwili, ule wa juu na ule wa c ...

                                               

Nchi

Nchi kwa maana ya kimsingi ni sehemu ya Dunia isiyofunikwa na bahari. Mara nyingi inataja sehemu maalumu iliyogawanyika kisiasa kwa mipaka na kutajawa kwa jina lake. Kwa maana hii ya kawaida nchi ni kitengo cha kisiasa katika eneo maalumu. Kwa ka ...

                                               

Atlasi

Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama Atlas Atlasi ni mkusanyiko wa ramani zinazounganishwa pamoja kwa umbo la kitabu. Siku hizi zinapatikana pia kwa umbo la elektroniki kwa matumizi ya kompyuta au kwenye intaneti. Kwa kawaida atlasi hua na ra ...

                                               

Kontua

Kontua ni mstari unaotumiwa kwenye ramani kuunganisha sehemu zilizo na kimo sawa juu ya usawa wa bahari. Kila mstari hupangwa kwa kimo fulani, na tofauti hutegemea skeli ya ramani. Kwenye ramani ya bahari kontua zinaweza kuonyesha kina chini ya u ...

                                               

Kamchatka

Majiranukta kwenye ramani: 57°N 160°E Rasi ya Kamchatka rus. полуо́стров Камча́тка poluostrov Kamchatka ni rasi kwenye upande wa mashariki ya Urusi. Ina urefu wa kilomita 1.250 na eneo la 270.000 km². Inaenea katika Bahari Pasifiki ikitenganisha ...

                                               

Ulaya ya Magharibi

Ulaya ya Magharibi ni sehemu ya magharibi ya bara la Ulaya. Kuna maelezo ya kutofautiana ni nchi zipi ambazo ni sehemu ya kanda hili. Maelezo hutofautiana kutokana na njia mbalimbali za kuangalia sehemu hiyo: kwa maana ya kijiografia, kihistoria, ...

                                               

Ulaya ya Kaskazini

Ulaya ya Kaskazini ni sehemu ya kaskazini ya bara la Ulaya. Kuna maelezo ya kutofautiana ni nchi zipi ambazo ni sehemu ya kanda hili. Kwa hakika tamko hili lamaanisha: Nchi za Kibalti yaani Estonia, Latvia na Lithuania. Nchi za Skandinavia pamoja ...

                                               

Ulaya ya Kati

Ulaya ya Kati ni kanda ya bara la Ulaya iliyopo baina ya Ulaya ya Mashariki na Ulaya ya Magharibi. Katika mpangilio wa Umoja wa Mataifa unaofuata kawaida ya miaka ya Vita baridi hakuna Ulaya ya Kati kwa sababu wakati ule kitovu cha Ulaya kiligawi ...

                                               

Ulaya ya Kusini

Ulaya ya Kusini ni sehemu ya kusini ya bara la Ulaya. Kuna maelezo ya kutofautiana ni nchi zipi ambazo ni sehemu ya kanda hili. Maelezo hutofautiana kutokana na njia mbalimbali za kuangalia sehemu hiyo: kwa maana ya kijiografia, kisiasa au kiutam ...

                                               

Ulaya ya Mashariki

Umoja wa Mataifa hujumuisha nchi zifuatazo humo: Bulgaria Romania Slovakia Hungaria Ukraine Ucheki Moldova Belarus Urusi Poland Orodha hii imejumlisha nchi zote za Ulaya zilizokuwa sehemu za Umoja wa Kisovyeti au zilizoshikamana nao kisiasa hadi ...

                                               

Kaldera

Kaldera ni shimo kubwa ya mviringo iliyotokea wakati volkeno inaporomoka ndani yake baada ya mlipuko. Kaldera hutokea kama chumba cha magma chini ya volkeno kimetoa nje yaliyomo yake yote na kuacha uwazi mkubwa nafasi ardhini. Mlima juu yake unap ...

                                               

Mlima Adwa

Mlima Adwa ni mlima uliopo ndani ya Ethiopia, unaopatikana kusini mwa kanda ya Afar una kaldera ya kuanzia kilomita 4 kwa 5. Kutokana na eneo la volkano karibu na mpaka kati ya Afar na makabila ya Issa, kidogo inajulikana juu ya tabia ya zamani n ...

                                               

Mlima Asavyo

Asavyo ni mlima wenye tindikali nyingi za asili za stratovolikano ndani ya Ethiopia, inayounda sehemu ya Bidu Volcanic complex. Iko katika umbali wa kilomita 20 kusini magharibi kwa volikano za Nabro na Mallahle. Asavyo ina upana wa kilomita 12. ...

                                               

Mlima Ayalu

Mlima Ayalu ni mlima uliopo mashariki mwa Ethiopia, upande wa mashariki wa mto Awash. Mlima huo una latitudo na longitudo za vipimo 10°5′N 40°42′E na mwinuko wa mita 2145. Watu wa Argobba wana utamaduni kila baada ya kufika Afrika katika eneo la ...

                                               

Mlima Chilalo

Mlima Chilalo ni mlima wa volkeno wa silikoni uliotengwa kusini mashariki mwa Ethiopia. Sehemu ya juu kabisa katika eneo la Arsi la Mkoa wa Oromia, na iko kwenye mpaka kati ya Hitosa na Tiyovaada. Mlima huo una latitudo na longitudo za 07 ° 55N 3 ...

                                               

Mlima wa Meza

Mlima wa Meza ni mlima wenye sehemu ya tambarare juu na mtelemko mkali upande. Mlima wa Meza unaojulikana zaidi ni ule wa Cape Town Afrika Kusini, ambao urefu wake unafikia mita 1.085 juu ya usawa wa bahari. Lakini umbo hili linapatikana sehemu n ...

                                               

Mlipuko wa volkeno

Mlipuko wa volkeno hutokea kama zaha na gesi zinatoka vikali kwa nguvu. Volkeno hupatikana pale ambako vipande vya ganda la dunia vinaachana au kusukumana. Kuna pengo ambako magma joto kutoka ndani ya dunia inapanda juu kufika usoni. Mara nyingi ...

                                               

Arigoni

Arigoni "mvivu" kwa sababu haipende kumenyuka kikemia) ni elementi yenye namba atomia 18 na uzani wa atomi 39.948. Alama yake ni Ar. Duniani yapatikana katika angahewa kama gesi adimu na bwete isiyo na rangi wala ladha. Kwa sababu ya tabia yake y ...

                                               

Darmstadti

Darmstadti zamani: ununnilium ilikuwa jina la kwanza ni elementi sintetiki yenye namba atomia 110 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni 281. Alama yake ni Ds. Jina latokana na mji wa Darmstadt katika Ujerumani ambako ilitengenezwa mara ya kwanza ...

                                               

Duteri

Duteri pia duteriumu, ing. Deuterium ni isotopi ya hidrojeni. Duteri ina protoni moja na nyutroni moja. Kiini cha hydrojeni ya kawaida haina nyutroni bali protoni moja tu. Alama ya Duteri ni 2 H bali D hutumiwa pia. Kuna isotopi nyingine ya hidro ...

                                               

Gerimani

Gerimani ni dutu mango na katika mazingira ya kawaida ni metali ngumu yenye rangi ya kifedha-nyeupe. Kiwango chake cha kuyeyuka ni 938.3 C°. Ilitambuliwa mwaka 1886 na Mjerumani Clemens Winkler aliyebuni jina kwa heshima ya nchi yake ya kuzaliwa ...

                                               

Heli

Heli pia heliamu, ing. helium; kut. kigiriki ἥλιος hélios "jua" ni elementi ya kikemia yenye namba atomia 2 na uzani wa atomi 4.002602. Alama yake ni He. Ni atomi nyepesi ya pili kati ya elementi zote hivyo ina nafasi ya pili katika mfumo radidia ...

                                               

Iodini

Iodini kut. Kigiriki "Iodes" ιώο-ειδης "rangi ya dhambarau" kutokana na mvuke) ni elementi yenye namba atomia 53 katika mfumo radidia maana yake kiini atomia chake kina protoni 53. Uzani atomia ni 126.904 na alama yake ni I. Ni elementi ya nne ka ...

                                               

Kundi la kaboni

Elementi za kundi la 14, pia kundi la kaboni, ni kundi la elementi za kikemia kwenye jedwali la elementi au mfumo radidia. Elementi hizo ni pamoja na kaboni, silikoni, gerimani, stani, risasi na hatimaye elementi sintetiki ya Flerovi. Kila kitu k ...

                                               

Neoni

Neoni kut. kigiriki νέος neos - "mpya" ni elementi ya kikemia yenye namba atomia 10 na uzani wa atomi 20.1797. Alama yake ni Ne. Duniani yapatikana katika angahewa kama gesi adimu na bwete isiyo na rangi wala ladha. Kwa sababu ya tabia yake ya ub ...

                                               

Roentgeni

Roentgeni jina la awali hadi 2004: Unununium ni elementi sintetiki yenye namba atomia 111 katika mfumo radidia na uzani atomia wa isotopi yake yenye nusumaisha ndefu ni 280. Alama yake ni Rg. Roentgeni haitokei kiasili kwa sababu nusumaisha ya is ...

                                               

Rutherfordi

Rutherfordi ni elementi sintetiki yenye namba atomia 104 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni takriban 261. Alama yake ni Rf. Jina limechaguliwa kwa heshima ya Ernest Rutherford aliyegundua misingi ya fizikia ya kiini.

                                               

Shaba

Shaba au shaba nyekundu pia: Kupri au Cupri kama jina la kisayansi ni elementi yenye namba atomia 29 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni 65.54. Alama yake ni Cu. Katika mazingira ya kawaida ni metali yenye rangi ya kahawia nyekundu. Kiwango cha ...

                                               

Stani

Stani ing. tin ni elementi. Namba atomia yake ni 50 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 118.710. Jina ni neno la kilatini stannum kwa metali hii. Ni metali laini sana yenye rangi ya kifedha-kijivu. Huyeyuka mapema kwenye kiwango cha halijoto ...

                                               

Triti

Triti ni isotopi nururifu ya hidrojeni yenye masi atomia 3.016. Triti ina protoni moja na nyutroni mbili. Kiini cha hidrojeni ya kawaida haina nyutroni bali protoni moja tu. Alama ya Triti ni 3 H bali T hutumiwa pia. Katika mazingira asilia triti ...

                                               

Xenoni

Xenoni pia: zenoni ; kut. kigiriki ξένος ksenos" kigeni” kwa sababu wafumbuzi wa kwanza waliikuta mahali wasipoitegemea ni elementi yenye namba atomia 54 kwenye mfumo radidia na uzani wa atomi 131.293. Alama yake ni Xe.

                                               

Biofueli

Biofueli ni fueli inayopatikana kutokana na masi ya mimea au viumbehai vingine. Tofauti na fueli kisukuku ambayo ni mabaki ya viumbehai ya miaka mingi iliyopita biofueli hutokana na masi iliyopatikana hai au iliyokaa muda kidogo tu. Biofueli hupa ...

                                               

Gesi asilia

Kikemia ni mchanganyiko wa gesi mbalimbali kama methani zilizotokana na kuoza kwa mata ogania kama mimea ya miaka mingi iliyopita. Gesi asilia inapatikana katika ardhi yenye mwamba wenye vinyweleo vingi ulioko chini ya ganda la mwamba imara zaidi ...

                                               

Gesi miminika

Gesi miminika ni gesi asilia katika hali ya kiowevu au miminika. Ni dutu safi isiyo na rangi na isiyo na sumu, inayotengenezwa kwa kupoza gesi asilia hadi nyuzi joto -160ºC hadi kiwango ambacho inakuwa kimiminika. Mchakato huo hurahisisha usafiri ...

                                               

Methani

Methani ni kampaundi ya kikemia katika kundi la hidrokaboni yenye fomula CH 4 maanake molekuli yake ina atomi 1 ya kaboni na atomi 4 za hidrojeni. Huhesabiwa kati ya alkani ikiwa ni sehemu kubwa ya mchanganyiko wa kawaida ya gesi asilia. Kwa hali ...

                                               

Vanadi

Vanadi ni elementi na metali ya mpito yenye namba atomia 23 na alama V katika mfumo radidia wa elementi. Ni metali laini na wayaikaji yenye rangi ya kifedha-nyeupe inayotokea katika madini na kampaundi mbalimbali. Inatumiwa kama sehemu za aloi za ...

                                               

Kundi la Halkojeni

Jina latokana na maneno mawili ya Kigiriki na lamaanisha "fanya mtapo". Hii imetaja tabia ya kumenyuka haraka na metali hivyo kuunda kampaundi za kimetali. Halkojeni zote zina elektroni sita katika mizingo elektroni wa nje. Tabia hii huzisaabisha ...

                                               

Umwagiliaji wa matone

Umwagiliaji wa matone ni mfumo wa kisasa kwa umwagiliaji wa mimea na hasa mazao. Maji hupelekwa polepole kwa mabomba au mipira yenye matundu madogo moja kwa moja hadi mguu wa kila mmea, karibu na mizizi yake. Mfumo huu unapunguza sana matumizi ya ...

                                               

Automation

Automation ni matumizi ya mfumo wa kudhibiti, katika Matamasha pia matumizi mengine ya teknolojia ya habari, kudhibiti mitambo ya viwandani na michakato, ili kupunguza haja ya kuingilia kwa binadamu. Katika wigo wa sekta ya viwanda automation ni ...

                                               

Harakati ya Mazungumzo ya Kitaifa ya Tunisia

Wanne kwa Mazungumzo ya Kitaifa ni maungano ya taasisi nne nchini Tunisia zilizounga mkono kujenga demokrasia na amani nchini baada ya mapinduzi ya mwaka 2011. Baada ya mapinduzi hii na uchaguzi huru ya kwanza kulikuwa na kipindi cha mvurugo na m ...

                                               

Mita ya mraba

Mita ya mraba ni kipimo cha eneo kinachotumika zaidi kimataifa; eneo lenye upana na urefu wa mita moja Msingi wake ni kipimo cha urefu cha mita m. 1 m² ni sawa na: 10.763 911 futi za mraba eneo la mraba yenye urefu wa mita moja kila upande 0.000 ...

                                               

Hezi

Hezi, pia hertz, kifupi Hz ni kipimo cha SI kwa marudio ikitaja rudio 1 kwa sekunde 1. Inatumiwa hasa kwa kutaja tabia ya mawimbi kama wimbisauti au mawimbi sumakuumeme za redio na pia marudio katika mitambo kwa mfano kompyuta. Kipimo hiki kilipo ...

                                               

Nyutoni

Nyutoni ni kizio cha kupima kazi. Fomula yake ni 1N = 1kg x m/s². Maelezo yake ni nyutoni moja ni sawa na kani ikitumiwa kwa masi ya kilogramu 1 ikisogezwa kwa mchapuko wa mita 1 kwa sekunde. Kwa lugha nyingine: Nyutoni 1 ni kani inayohitajika ku ...

                                               

Viambishi awali vya vipimo sanifu

Viambishi awali vya vipimo sanifu vinaeleza viwango vya vipimo sanifu vya kimataifa kuwa uwingi au sehemu ya vipimo hivi. Mfumo huu haujui sehemu kama nusu au robo bali unatumia hatua za kidesimali yaani hatua za sehemu au wingi wa kumi. Kwa kawa ...

                                               

Volti

Volti ni kizio cha umeme tuli au kani mwendoumeme ambao ni tofauti ya utuli baina ya mahali pawili kwenye waya kipitishio na huchukua mkondo usiobadilika wa ampea 1 kama nguvu kati ya sehemu pawili ni wati moja. Kifupi chake ni V. Fomula yake ni ...

                                               

Futi

Futi ni kipimo cha urefu wa 30.48 sentimita au inchi 12. Asili yake ni urefu wa sehemu ya kanyagio ya mguu wa mwanadamu. Si kipimo sanifu cha kimataifa bali ni kizio cha vipimo vya Uingereza. Kifupi chake ni ft. au inaandikwa hivyo: futi 5 inchi ...

                                               

Inchi

Inchi ni kipimo cha urefu wa sentimita 2.54. Inatumika pamoja na futi na maili. Si kipimo sanifu cha kimataifa SI bali ni kizio cha vipimo vya Uingereza. Asili yake ni upana wa kidole gumba cha mtu. Kwa hiyo inchi inalingana takriban na wanda kat ...