ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 252
                                               

Nestroy Kizito

Joseph Nestroy Kizito ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Uganda, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya FK Vojvodona nchini Serbia tangu Januari mwaka 2005. Yeye pia ndio kapteni wa Timu ya Taifa ya Uganda. Kizito alifunga goli d ...

                                               

Malcolm Allison

Malcolm Allison alikuwa mchezaji na meneja wa soka wa Uingereza. Jina lake la utani lilikuwa "Big Mal". Uwezo wa Allison ulionekana wakati wa ujana wake huko West Ham United, ambako akawa mtetezi wa kuaminika na akafanya kazi kama mshauri kwa wac ...

                                               

Diego Maradona

Diego Armando Maradona alikuwa mchezaji maarufu wa mpira wa miguu kutoka nchi ya Argentina. Watu wengi wanamchukulia kuwa ni mchezaji bora duniani kwa wakati wote. Mwaka 2000 katika zawadi ya mchezaji bora wa karne iliyotangazwa na FIFA, Maradona ...

                                               

Valery Nahayo

Valery Twite Nahayo ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Burundi. Kwa sasa anaichezea klabu ya Kaizer Chiefs katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini kama mlinzi. Ndiye kapteni wa timu ya taifa ya Burundi. Timu yake ya kwanza kabisa inaitwa At ...

                                               

Selemani Ndikumana

Sulemani Yamin Ndikumana (amezaliwa katika mji wa Bujumbura 18 Machi 1987} ni mchezaji wa mpira wa miguu anaeichezea klabu ya Lierse S.K. katika Ligi ya pili ya Ubelgiji na pia ni mchezaji katika Timu ya Taifa ya Burundi.

                                               

Ricardo Kaka

Ricardo Izecson dos Santos Kaka ni mchezaji wa soka wa zamani wa Brazil aliyecheza kama kiungo mshambuliaji. Kaká alianza kazi yake akiwa na umri wa miaka 18 huko São Paulo FC nchini Brazil mwaka 2001. Baada ya kuitwa jina la Bola de Ouro kama mc ...

                                               

Robert Lewandowski

Robert Lewandowski ni mchezaji wa mpira wa miguu wa klabu ya Bayern Munich na wa timu ya taifa ya Poland. Timu ya kwanza kuichezea ni Znicz Pruszkow ya Poland baada ya hapo alihamia klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani akawa mfungaji bora wa l ...

                                               

Robert Pires

Robert Pires ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchi ya Ufaransa. Pires alizaliwa na baba wa Ureno na mama wa Hispania. Alichezea vilabu viwili vya Ufaransa kabla ya kwenda Arsenal. Alivyokuwa timu hiyo ya Arsenal alishinda kombe mbili za FA na mat ...

                                               

Roberto Cherro

Roberto Eugenio Cerro, aliyeitwa "Cherro" alikuwa mchezaji wa soka wa Argentina. Alizaliwa katika Baracas katika mji wa Buenos Aires nchini Argentina. Alicheza kazi nyingi na Boca Juniors, alifunga mabao 221 katika michezo 305 kwa klabu katika ma ...

                                               

Sandy Turnbull

Sandy Turnbull alikuwa mchezaji wa soka wa Uskoti ambaye alicheza kama mshambuliaji katika klabu za Manchester United F.C. na Manchester City mwanzoni mwa karne ya 20.

                                               

Santiago Bernabeu Yeste

Santiago Bernabeu Yeste alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Hispania na klabu ya Real Madrid aliyekuwa anacheza katika nafasi ya mshambuliaji. Bernabeu ndiye mchezaji muhimu kuliko wote katika historia ya klabu ya Real Madrid k ...

                                               

Rashidi Yekini

Baada ya kuanza kucheza kandanda katika Ligi ya Nigeria, Yekini alihamia Côte dIvoire kucheza katika timu ya Africa Sports National. Kutoka hapo,alihamia timu ya Vitória de Setúbal ya Ureno, alipofanikiwa sana na kupata miaka mizuri katika kandan ...

                                               

Frank Adams

John Frank Adams alikuwa mtaalamu wa hisabati wa Uingereza, mmoja wa wasaidizi wakubwa wa nadharia inayohusisha mfumo wa vikundi kwa kila mpangamano wa anga.

                                               

Alessandro Volta

Alessandro Giuseppe Antonio Anastasio Volta alikuwa mwanafizikia wa Italia, aliyegundua kanuni za misingi za umeme. Aliboresha seli ya Luigi Galvani akatengeneza betri ya kwanza kwa kuunganisha seli kadhaa mwaka 1799. Kwa uvumbuzi huo Volta ameon ...

                                               

Alexander Stephanovich Popov

Alexander Stephanovich Popov alikuwa mwanafizikia wa Urusi ambaye kwa mara ya kwanza alionyesha jinsi ya kutumia mawimbi ya umeme, ingawa hakuomba leseni ya uvumbuzi wake. Kazi ya Popov kama mwalimu katika shule ya wanajeshi wa majini wa Kirusi i ...

                                               

Hannes Alfven

Hannes Olof Gösta Alfvén alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswidi. Hasa alichunguza uionishaji wa gesi na umuhimu wake kwa chanzo cha ulimwengu. Mwaka wa 1970, pamoja na Louis Neel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Luis Alvarez

Luis Walter Alvarez alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine, alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1968 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Amedeo Avogadro

Amedeo Avogadro alikuwa mwanasayansi wa Italia. Yeye ni maarufu kutokana na michango yake katika nadharia ya masi. Idadi ya chembechembe za msingi kama atomi, molekuli, ioni katika mole 1 ya dutu ni sawa na 6.02214179 × 1023, hii inajulikana kama ...

                                               

Philip Anderson

Philip Warren Anderson alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza upitishaji wa umeme, na usumaku. Mwaka wa 1977, pamoja na John Van Vleck na Nevill Mott alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Pia alikuwa stadi wa mchezo ...

                                               

Christian Anfinsen

Christian Boehmer Anfinsen alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhusiano kati ya mfumo wa protini na athari zake mwilini. Mwaka wa 1972, pamoja na Stanford Moore na William Stein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

                                               

Antoine Lavoisier

Antoine-Laurent de Lavoisier alikuwa mtaalamu wa biolojia wa Ufaransa ambaye mara nyingi huitwa "Baba wa Kemia ya kisasa". Kazi yake ni sehemu muhimu ya historia ya kemia na biolojia. Pia imechangia mwanzo wa nadharia ya atomiki. Alikuwa mwanasay ...

                                               

Edward Appleton

Edward Appleton alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mionzi katika anga ya nje. Mwaka wa 1941 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza. Mwaka wa 1947 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Svante Arrhenius

Svante Arrhenius alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Sweden. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza uchanganuaji dutu kwa nguvu za umeme. Mwaka wa 1903 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

                                               

Adolf von Baeyer

Adolf von Baeyer alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Mwaka wa 1880 alifaulu kusanisi nili na kuendelea kuichunguza. Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

                                               

John Bardeen

John Bardeen alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhandisi wa umeme na kuvumbua transista. Mwaka wa 1956, pamoja na William Shockley na Walter Brattain, na tena mwaka wa 1972, pamoja na Leon Cooper na John Schrieffer ali ...

                                               

Nikolai Basov

Nikolai Gennadiyevich Basov alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza mionzi ya aina mbalimbali na kuvumbua leza. Mwaka wa 1964, pamoja na Aleksander Prokhorov na Charles Townes alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Antoine Henri Becquerel

Antoine Henri Becquerel alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Mwaka wa 1896 aligundua mionzi nururishi. Mwaka wa 1903, pamoja na Pierre Curie na Marie Curie alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Kizio cha upimaji wa unururifu kinai ...

                                               

Johannes Bednorz

Johannes Georg Bednorz ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza mambo ya upitishaji wa hali ya juu. Mwaka wa 1987, pamoja na Karl Alexander Müller alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Paul Berg

Paul Berg ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa uchunguzi wake wa DNA. Mwaka wa 1980, pamoja na Walter Gilbert na Frederick Sanger alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

                                               

Nicolaas Bloembergen

Nicolaas Bloembergen alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi. Mwaka wa 1958 alikata uraia wa Marekani. Hasa alichunguza mnururisho na usumaku wa kiini cha atomu. Mwaka wa 1981, pamoja na Arthur Schawlow na Kai Siegbahn alikuwa mshindi wa Tuz ...

                                               

Aage Bohr

Aage Niels Bohr alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Denmark. Baba yake ni Niels Bohr. Aage hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1975, pamoja na James Rainwater na Ben Mottelson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Niels Bohr

Niels Henrik David Bohr alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Denmark. Hasa alichunguza nadharia za atomu na kwanta. Mwaka wa 1922 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Mwana wake ni mwanafizikia Aage Bohr. Tangu 1997 elementi sintetiki ya B ...

                                               

Max Born

Max Born alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza sifa za mawimbi na kuboresha nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1954, pamoja na Walther Bothe alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Carl Bosch

Carl Bosch alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza njia za usanisi kwa kanieneo kubwa. Mwaka wa 1931, pamoja na Friedrich Bergius alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

                                               

Walther Bothe

Walther Wilhelm Georg Bothe alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa kuvumbua njia mpya ya kutambua vijipande vya atomu. Mwaka wa 1954, pamoja na Max Born alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Lawrence Bragg

William Lawrence Bragg alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Australia. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza mionzi ya eksirei na nuru. Mwaka wa 1915, pamoja na baba yake, William Henry Bragg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Walter Brattain

Walter Houser Brattain alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhandisi wa umeme na kuvumbua transista. Mwaka wa 1956, pamoja na William Shockley na John Bardeen alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Ferdinand Braun

Karl Ferdinand Braun alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza mambo ya umeme. Mwaka wa 1909, pamoja na Guglielmo Marconi, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Percy Bridgman

Percy Williams Bridgman alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sifa za halijoto na kanieneo. Mwaka wa 1946 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Louis-Victor Broglie

Louis-Victor Broglie alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza sifa za elektroni na nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1929 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Herbert Brown

Herbert Brown alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa nchini Ukraine kwa jina la Herbert Brovarnik. Hasa alichunguza misombo mbalimbali. Mwaka wa 1979, pamoja na Georg Wittig alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

                                               

Eduard Buchner

Eduard Buchner alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza kimengenya cha hamira. Mwaka wa 1907 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

                                               

Hans Buchner

Hans Ernst August Buchner alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa na damu ya binadamu. Alikuwa kaka ya Eduard Buchner aliyepokea Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907. Asichanganywe na mtungaji muz ...

                                               

Robert Bunsen

Robert Wilhelm Eberhard Bunsen alikuwa mwanakemia wa Ujerumani. Alifanya uchunguzi wa vipimo vya moto, na aligundua cesium mwaka 1860 na rubidium mwaka wa 1861 na mwanafizikia Gustav Kirchhoff. Bunsen aliendeleza mbinu nyingi za uchambuzi wa gesi ...

                                               

Adolf Butenandt

Adolf Friedrich Johann Butenandt alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza homoni zisababishazo kuvutiwa kijinsia. Mwaka wa 1939, pamoja na Leopold Ruzicka alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Serikali ya Ujerumani walim ...

                                               

Carl Sagan

Carl Edward Sagan alikuwa mwanaastronomia wa Marekani aliyejaribu kufanya sayansi kuwa maarufu. Alifikiria kuhusu maisha gani katika sayari nyingine yanaweza kuwepo. Alisema kuwa watu wanapaswa kutafuta maisha kwenye sayari nyingine SETI. Yeye ni ...

                                               

James Chadwick

James Chadwick alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Aligundua na kuchunguza nutroni. Mwaka wa 1935 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Owen Chamberlain

Owen Chamberlain ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alifanya utafiti wa fizikia ya kiini na kugundua vipande vingi vya atomu. Mwaka wa 1959, pamoja na Emilio Segre alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

                                               

Subrahmanyan Chandrasekhar

Subrahmanyan Chandrasekhar alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Amezaliwa nchini Pakistan. Anajulikana hasa kwa utafiti wake wa mifanyiko tendani ya kifizikia ya nyota. Mwaka wa 1983, pamoja na William Fowler alikuwa mshindi wa Tuzo ya N ...

                                               

Chandrasekhara Raman

Chandrasekhara Venkata Raman alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uhindi. Hasa alichunguza mambo ya mwanga na jinsi unavyosambazwa kupitia vitu mbalimbali. Mwaka wa 1930 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.