ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 218
                                               

Diana Ferrus

Diana Ferrus ni mwandishi, mshairi na msimulizi wa hadithi kutokea nchini Afrika Kusini na mchanganyiko wa Khoisan. Kazi yake imechapishwa katika lugha ya Kiafrikana na Kiingereza. Ferrus anaongoza kuandika warsha katika Cape Town wakati anafanya ...

                                               

Maxine Case

Maxine Case ni mwandishi wa Afrika Kusini ambaye huandika hadithi fupi. Riwaya ya kwanza, All We Have Left Unsaid, Kwela Books, Mwaka 2006, iliandikwa mwaka 2007 kwenye Orodha ya Waandishi wa Jumuiya ya Madola Tuzo za Waandishi wa Jumuiya ya Mado ...

                                               

Sheila Meiring Fugard

Sheila Meiring Fugard alihamia na wazazi wake Afrika Kusini mwaka 1940 alipokuwa na miaka nane. Alikwenda Chuo Kikuu cha Cape Town, ambapo aliandika hadithi fupi na kusoma ukumbi wa michezo. Alikutana na mwandishi wa michezo Athol Fugard wakati a ...

                                               

Dawn Faith

Dawn Faith Mackay ni mwigizaji, mwimbaji muziki, mwanaharakati wa masuala ya kijamii, na mwendesha kipindi cha Deep & Meaningful. Alianza kazi ya muziki mwaka 2008 akifanya kazi na msanii wa ndani kutoka Afrika Kusini na kuanzia hapo alitoa kazi ...

                                               

Lynn Freed

Lynn Freed alizaliwa na kukulia Durban, Afrika Kusini. Alienda New York akiwa mwanafunzi wa shahada ya pili akipokea shahada ya uzamili na shahada ya uzamivu ya Fasihi ya kiingereza kutoka chuo kikuu cha Colombia. Baada ya kuhamia San Francisco, ...

                                               

Corlia Fourie

Cornelia Hilda Kühn ni mwandishi wa Afrika Kusini anayejulikana kwa jina la Corlia Fourie. Alishinda tuzo ya ATKV kwa hadithi fupi ya Liefde en geweld na tuzo ya MER kwa hadithi za Die towersak en ander. Mnamo 1995, alipokea Tuzo ya Alba Bouwer.

                                               

Mary Anne Fitzgerald

Mary Anne Fitzgerald ni mwandishi wa habari wa Uingereza, mfanyikazi wa misaada ya maendeleo na mwandishi, anayejulikana kwa ripoti yake ya vita vya kimataifa barani Afrika, na vitabu viwili vilivyofanikiwa

                                               

Jeni Couzyn

Jeni Couzyn ni mshairi wa kike na Mwanadolojia wa uchimbaji nchini Afrika Kusini anayeishi na kufanya kazi nchini Canada na Uingereza. Mkusanyiko wake unaojulikana zaidi unaitwa Life by Drownin 1985, ambao mwanzoni ulijumuisha mlolongo wa A Time ...

                                               

Babette Brown

Babette Brown alikuwa mwandishi nchini Afrika Kusini juu ya masuala ya ubaguzi wa rangi ambaye alikuwa na asili ya Ufalme wa Muungano. Vitabu alivyoviandika Brown ni pamoja na Unlearning Discrimination in the Early Years cha mwaka 1998 na Combatt ...

                                               

Lindsey Collen

Lindsey Collen ni mwandishi wa riwaya na mwanaharakati. Alishinda tuzo za kawaida za uandishi wa kitabu bora wa Afrika miaka 1994 na 2005. Kazi yake ilitokea katika mtaala mpya wa kimataifa, naye ni mwanachama wa Lalit de Klas.

                                               

Marike de Klerk

Marike de Klerk alikuwa mke wa rais wa Afrika Kusini, Frederik Willem de Klerk, tangia 1989 mpaka 1994. Alikuwa pia mwanasiasa wa utawala wa zamani National Party kwa matakwa yake mwenyewe. De Klerk alifanya mauaji katika mji wake wa Cape Town mn ...

                                               

Lyndall gordon

{maelezo mafupi | mwandishi na msomi wa Afrika Kusini}} Lyndall Gordon doc / 1G2-2591200064.html | jalada-url = https: //web.archive.org/web/20150328212147/http: //www.highbeam.com/doc/1G2-2591200064.html | url-status = amekufa | archive-date = 2 ...

                                               

Dricky Beukes

Dricky Beukes alikuwa mwandishi wa riwaya za Kiafrika, hadithi fupi na tamthilia za redio wa Afrika Kusini. Beukes aliandika riwaya zaidi ya mia moja ya Kiafrikana, idadi kubwa ya hadithi fupi na tamthilia nyingi za radio za Kiafrika, Pamoja na v ...

                                               

Godfrey Mwampembwa

Godfrey Mwampembwa ni mchoraji wa katuni kutoka nchini Tanzania anayeishi Kenya. Katuni zake nyingi zinahusu habari za siasa lakini amechora pia Hekaya za Abunuwasi. Gado ni mchoraji anayechapishwa zaidi katika Afrika ya Mashariki. Kwa zaidi ya m ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/

Tangazo Kuanzia Mei 27 2013 tutaona mabadailiko katika utaratibu wa majina ya akaunti za watumiaji waliojiandikisha. Wengi wetu wamejiandikisha katika Wikipedia ya Kiswahili ambayo ni wiki mmoja kati ya wiki 900 chini ya Wikimedia. Lakini wengine ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Radi

Radi ni mwangaza na miale ya mwanga wa umeme inayotokea wakati wa ngurumo wa mvua ya radi. Katika mazungumzo ya kila siku neno radi inaweza kutaja pia sauti yenyewe na mwanga unaweza kuitwa "umeme". Asili yake ni volteji inayojijenga kati ya mawi ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/WikiIndaba 2017

Wikiindaba 2017 ilikuwa mkutano wa taasisi ya Wikimedia Foundation kwa ajili ya Afrika uliofanyika mjini Accra tarehe 10 - 22 Januari 2017. Waliokaribishwa walikuwa wachangiaji wa Wikipedia pamoja na miradi mingine ya maaarifa huria kutoka nchi z ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Ugonjwa wa kuambukiza

Ugonjwa wa kuambukiza ni ugonjwa wowote unaosababishwa na ambukizo, yaani kuingia na kuenea kwa pathojeni kama bakteria, virusi au fungi katika mwili. Wanadamu, wanyama na pia mimea wanaweza kuambukizwa na pathojeni hizi. Baadhi ya magonjwa hayo ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Tangazo kuhusu utaratibu mpya kwa majina ya akaunti

Tangazo Kuanzia Mei 27 2013 tutaona mabadailiko katika utaratibu wa majina ya akaunti za watumiaji waliojiandikisha. Wengi wetu wamejiandikisha katika Wikipedia ya Kiswahili ambayo ni wiki mmoja kati ya wiki 900 chini ya Wikimedia. Lakini wengine ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Rugaruga

Rugaruga ilikuwa jina kwa aina mbalimbali ya askari wa kienyeji katika Afrika ya Mashariki wakati wa karne ya 19 na 20. Jina "Rugaruga" lilikuwa maarufu tangu miaka ya 1860 kama jina la askari wa Mirambo aliyekuwa mtemi wa Wanyamwezi katika magha ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Kikingaradi

Kikingaradi ni kifaa kinachofungiwa juu ya nyumba, minara au majengo marefu mengine. Kwa kawaida ni nondo nene ya metali ambayo inaunganishwa na waya inayoishia kwenye pao la metali lililochimbwa ardhini. Kazi ya kikingaradi ni kuvuta radi kwake ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Mnyamawamtuka

Mnyamawamtuka moyowamkia ni aina ya dinosauri ambaye visukuku vyake viligunduliwa kuanzia mwaka 2004 katika bonde la mto Mtuka upande wa kusini ya Ziwa Rukwa, karibu na kata ya Totowe. Jina la Mnyamawamtuka linarejelea mahali ambako mifupa yake v ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Kassim Mapili

Kassim Said Mapili alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Mzee Mapili alizaliwa katika kijiji cha Lipuyu, Tarafa ya Lionya, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi mwaka 1937. Hivyo umauti umekuta Mzee Mapili akiwa na um ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Hastings Banda

Hastings Kamuzu Banda alikuwa daktari na mwanasiasa aliyeendelea kuwa kiongozi, rais na dikteta wa Malawi tangu mwaka 1961 hadi 1994. Kamuzu Banda alizaliwa karibu na Kasungu, Malawi iliyokuwa wakati ule sehemu ya eneo lindwa la Afrika ya Kati ya ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Mbaraka Mwinshehe

Mbaraka Mwinshehe Mwaruka alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania.Mbaraka Mwinshehe Mwaruka alizaliwa mjini Morogoro 27 Juni, 1944. Mbaraka Mwinshehe alikuwa mtoto wa pili kuzaliwa katika watoto 12. Baba yake Mzee Mw ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Biomasi

Biomasi ni dhana muhimu katika ekolojia na ni namna ya kuangalia upande wa kimwili wa uhai duniani ni pia dhana muhimu katika maswali ya uzalishaji wa nishati hasa nishati mbadala kama biofueli.

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Jokate Mwegelo

Jokate Mwegelo ni mwigizaji wa filamu, mjasiriamali na mwanasiasa kutoka nchini Tanzania. Kwenye mwezi wa Julai 2018 aliteuliwa na rais John Magufuli kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe. Jokate vilevile alikuwa mtangazaji na mwimbaji. Mwaka wa 2011, ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Stratolaunch Roc

Stratolaunch Roc ni eropleni kubwa zaidi duniani tangu kuruka mara ya kwanza katika mwezi wa Aprili 2019. Ndege hii imetengenezwa kwa kutumia ndege mbili za Boeing 747-400 ilhali injini, chumba cha rubani, magurudumu na haidroli za ndege hizi ili ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/kontena

Kontena ni sanduku kubwa la metali -hasa feleji_ ambayo vipimo vyake vimesanifishwa kwa matumizi ya kimataifa. Kontena hutumiwa kutunza na kusafirisha bidhaa za kila aina kwa meli, lori au reli. Kontena ndogo husafirishwa pia kwa ndege. Kontena z ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Kontena

Kontena ni sanduku kubwa la metali -hasa feleji_ ambayo vipimo vyake vimesanifishwa kwa matumizi ya kimataifa. Kontena hutumiwa kutunza na kusafirisha bidhaa za kila aina kwa meli, lori au reli. Kontena ndogo husafirishwa pia kwa ndege. Kontena z ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/FIFA

Shirikisho la Soka Duniani, kifupi FIFA ni shirika linalosimamia mambo ya mpira wa miguu kimataifa. Kisheria ni shirika binafsi lililoandikishwa huko Uswisi. Makao makuu yapo Zurich. Rais ni Joseph Blatter. FIFA inasimamia mashindano ya kimataifa ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Joe Biden

Joseph Robinette "Joe" Biden Jr. ni mwanasiasa wa Marekani. Kuanzia mwaka wa 1973 hadi 2009 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Delaware. Halafu alikuwa Makamu wa Rais wa Marekani chini ya Rais Barack Obama kuanzia mwaka wa ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Baraza la mawaziri Tanzania

Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo wa mgawanyo wa madaraka. Baraza hili linafanywa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri wot ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Virusi vya corona

Virusi vya Corona ni kundi la virusi vinavyoweza kusababisha magonjwa kwa wanyama lakini pia kwa binadamu. Inaaminiwa ni aina ya virusi vilivyohama kutoka kwa wanyama na kuathiri binadamu pia.

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Goodluck Jonathan

Goodluck Ebele Azikiwe Jonathan ni rais wa Nigeria tangu Januari 2010. Awali hakuchaguliwa lakini alikabidhiwa madaraka akiwa makamu wa rais mgonjwa Umaru YarAdua aliyemtangulia na baada ya kifo chake aliapishwa kama rais. Katika uchaguzi wa kita ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Umaru YarAdua

Umaru Musa YarAdua alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Nigeria na rais wa nchi hiyo tangu 2007 hadi kifo chake hapo 2010. YarAdua ni Mwislamu aliyezaliwa katika familia ya Wafulbe katika Nigeria ya Kaskazini. Babake Musa YarAdua alikuwa waziri katik ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Charles Darwin

Charles Robert Darwin alikuwa mwanasayansi Mwingereza katika karne ya 19. Amekuwa mashuhuri kutokana na nadharia yake ya maendeleo ya uhai mageuko ya spishi. Nadharia hii yasema kuwa spishi zote za viumbehai vimetokana na spishi asilia zilizogeuk ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Queen Latifah

Dana Elaine Owens, anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Queen Latifah, ni rapa, mwigizaji, na mwimbaji kutoka nchini Marekani. Kazi zake Queen Latifah katika muziki, filamu na televisheni zimepelekea kupata tuzo ya Golden Globe, Screen ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Hamed bin Mohammed el Murjebi

Hamed bin Mohammed el Murjebi amejulikana zaidi kwa jina la Tippu Tip. Alikuwa mfanyabiashara mashuhuri katika Afrika ya Mashariki na Kati wakati wa karne ya 19. Babake alikuwa mfanyabiashara Mwarabu Muhammed bin Juma, mamake aliitwa Nyaso. Hamed ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ni jeshi lililoanzishwa mnamo mwezi wa Septemba katika mwaka wa 1964. Ilichukua nafasi ya jeshi la Tanganyika Rifles lililorithiwa na ukoloni wa Kiingereza. Chanzo cha jeshi nchini Tanzania kilikuwa jeshi l ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Leonardo da Vinci

Leonardo da Vinci alikuwa mtu mwenye vipaji vingivingi kutoka nchini Italia. Kifupi, alikuwa mwanahisabati, mhandisi, mwanasayansi, mgunduzi, mwanaanatomi, mchoraji, mchongaji, msanifu majengo, mwanabotania, mwanamuziki, na mwandishi. Leonardo al ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Wolfgang Amadeus Mozart

Wolfgang Amadeus Mozart alikuwa mtunzi mashuhuri wa opera na mpigaji wa ajabu sana wa piano kutoka nchini Austria alipolizaliwa katika jiji la Salzburg tarehe 27 Januari 1756. Enzi za maisha yake mafupi, aliandika zaidi ya tungo 600 za muziki. Wa ...

                                               

Wikipedia:Makala ya wiki/Mfumo wa jua na sayari zake

Mfumo wa jua na sayari zake ni utaratibu wa jua letu na sayari au sayari kibete zinazolizunguka pamoja na miezi yao, asteroidi, meteoridi, kometi na vumbi ya angani, vyote vikishikwa na mvutano wa jua. Utaalamu kuhusu mfumo wa jua hujadiliwa kati ...

                                               

Wikipedia:Jedwali

Jedwali la Wikipedia ni njia nzuri ya kupanga na kueleza data na namba, na wakati mwingine hata maelezo ya kimaandishi. Jedwali hupanga data, matini au picha kwa nguzo na misafa. Jedwali katika Wikipedia hutumia lugha ya misimbo isiyo vigumu sana ...

                                               

Wikipedia:Mikutano/Usimulizi wa Hadithi Kenya

Victor Grigas, Msimulizi Hadithi kutoka Shirika la Wikimedia atasafiri kuelekea Kenya mwezi wa Agosti 2012 kwa shughli ya kuhoji wachangiaji, wafadhili na watumiaji wa miradi mbalimbali ya Wikimedia juu ya ushirika/uhusiano wao na Wikimedia.

                                               

Nyumba ni Choo (Kampeni)

Nyumba ni Choo ni kampeni ya usafi nchini Tanzania inayosimamiwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yenye malengo ya kuhamasisha jamii katika kudumisha suala la usafi na ujenzi wa vyoo bora. Kampeni hiyo inafanyika katika wilaya na mikoa mbalim ...

                                               

Vunjabei Group Limited

Vunjabei Group Limited pia inajulikana kwa jina la Vunjabei, ni duka la kuuza nguo inayojulikana kwa mavazi ya mtindo wa haraka kwa wanaume, wanawake, vijana na watoto ambayo makao makuu yake yapo jijini Dar Es Salaam, Tanzania. Ilianzishwa na Fr ...

                                               

Ethiopia Habtemariam

Mwaka 1994, alipokuwa na miaka 14, Habtemariam alianza kufanya kazi na Rekodi ya LaFace, lebo ya rekodi ambayo iliundwa na LA Reid, mkurugenzi mtendaji wa zamani wa Rekodi ya Epic. Kazi hiyo ilidumu kwa miaka minne. Baadaye, Habtemariam alifanya ...

                                               

Now United

Now United ni kikundi cha kimataifa cha muziki wa vijana wa pop kilichoundwa huko Los Angeles, California mnamo Agosti 2017 na muundaji wa Idols Simon Fuller. Uzinduzi wake rasmi ulifanyika katikati ya mwaka wa 2018. Hapo awali kikundi kilikuwa n ...

                                               

Ufalme wa Ashanti

Ufalme wa Ashanti ulikuwa milki ya Waashanti, ambao ni kundi mojawapo kati ya Waakan katika nchi ambayo ni Ghana ya kisasa. Ufalme wa Ashanti ulidumu kutoka mwaka 1701 hadi 1957 ukiendelea leo hii kama "mamlaka ya kimila" ndani ya Ghana. Mkuu wa ...