ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 209
                                               

Kuingiza historia mpya

Historia kuhusu kijiji cha KILINDI.Kijiji hicho kipo kataya mtiri wilaya ya mbinga mkoa wa RUVUMA.KIJIJI Hicho kina makabila kama:WANGONI,WANYASA,WAMANDA,WAPANGWA Na WAMATENGO.Kipo kilometa 17 kutoka katani MATIRI na kilometa 25 kutoka ZIWA NYASA ...

                                               

Orodha ya Wafalme wa Rwanda

Ukarasa huu una orodha ya Wafalme wa Rwanda. Kumbuka kuwa ushahidi wa kuwepo kwa wafalme hapo awali inatokana na historia simulizi. Tarehe zao ni kadiri za umbali.

                                               

WikiIndaba 2017

Wikiindaba 2017 ulikuwa mkutano wa taasisi ya Wikimedia Foundation kwa ajili ya Afrika uliofanyika mjini Accra tarehe 10 - 22 Januari 2017. Waliokaribishwa ni wachangiaji wa Wikipedia na miradi mingine ya maarifa huria kutoka nchi za Afrika pamoj ...

                                               

The O.C.

The O.C. ni kipindi cha Marekani kilichohusu maisha ya vijana iliyoonyeshwa kuanzia 5 Agosti 2003 hadi 22 Februari 2007 kwenye Stesheni ya Fox Broadcasting Company. Kipindi hiki, kilichobuniwa na Josh Schwartz, kinahusu maisha ya kundi la vijana ...

                                               

Symphony No. 5 (Beethoven)

Symphony No. 5 in C minor, Op. 67 ni jina la kutaja simfoni iliyotungwa na mtunzi wa Opera kutoka nchini Ujerumani, Ludwig van Beethoven. Hii ni simfoni ya 5 katika simfoni zake tisa. Ilitungwa kati ya 1804 na 1808. Hii ni moja kati ya Simfoni ma ...

                                               

The Kung-Fu Master Jackie Chan

The Kung-Fu Master Jackie Chan ni mchezo wa video wa 1995 wa kupigana aina ya arcade ambao umekuzwa na Atop na kuchapishwa na Kaneko. Unashirikisha msanii maarufu wa Hong Kong Jackie Chan. Kama Blood Warrior, ambao pia ni amchezo ulioundwa na Ato ...

                                               

Faery Wicca

Faery Wicca ni jadi ya kisasa ya Wicca iliyoanzishwa na mwandishi Kisma Stepanich. Wafuasi wa Faery Wicca wa Stepanich wanadai kuwa inarejesha mila ya Tuatha De Danaan, watangulizi wa hadithi kwa watu wa Celtic ; pia hii inabishaniwa zaidi na wal ...

                                               

Milima Aberdare

Milima ya Aberdare ni mlima wa urefu wa kilomita 160 katika upande wa juu wa kaskazini ya mji mkuu wa Kenya ambao ni Nairobi yenye wastani wa kimo wa fiti 11.000. Milima hii inapatikana katika sehemu ya magharibi ya kati ya Kenya, kaskazini masha ...

                                               

Alama ya swali

Alama hii imetokana na mwandiko wa Kilatini na inajulikana tangu karne ya 9 BK ilipoanza kupatikana kwenye maandiko yaliyotoka kwenye ofisi ya mfalme Karolo Mkuu. Hakuna uhakika juu ya asili kamili lakini wataalamu wengi wanahisi ya kwamba waandi ...

                                               

Kibiriti

Kiasili neno lataja elementi ya rangi njano inayoitwa zaidi sulfuri kwa jina la kikemia. Kwa maana hiyo neno lapatikana katika Biblia kwa mfano Ufunuo 9.17.

                                               

Pasargadi

Pasargadi ni mahali pa kihistoria katika jimbo la Fars nchini Uajemi. Hapa ilikuwepo mji mkuu wa Koreshi Mkuu aliyeanza kuijenga mnamno mwaka 546 KK baada ya kuunganisha Umedi na Uajemi. Wakati ule Koreshi alijiita "Mfalme wa Wamedi na Waajemi" a ...

                                               

Kizunguzungu

Kizunguzungu ni hali ya kupoteza utambuzi na uimara inaweza kutumika kwa maana ya kuhisi kuzunguka, udhaifu wa misuli, inachukuliwa kama kutokuwa na uimara au kwa hisia zisizo maalum kama vile Kizunguzungu au upumbavu. Mtu anaweza kupata kizunguz ...

                                               

Athroskopia

Athroskopia ni upasuaji wa kuingilia kwa kiasi kidogo kabisa ambapo uchunguzi na wakati mwingine matibabu ya uharibifu ndani wa kifundo hutekelezwa kwa kutumia athroskopu, aina ya hadubini inayoingizwa ndani ya kifundo kupitia mkato mdogo. Tarati ...

                                               

Fuwawe

Fuwawe ni aina ya mwamba mwepesi inayoundwa na povu ya zaha. Maana yake zaha ambayo ni mwamba joto sana katika hali ya kiowevu inarushwa kutoka volkeno kwa shinikizo kubwa inakuwa kama povu kwa sababu shinikizo inapungua haraka sana. Ikipoa harak ...

                                               

Chama cha Mapinduzi cha Kidemokrasi cha Watu wa Ethiopia

Chama cha Mapinduzi cha Kidemokrasi cha Watu wa Ethiopia ni chama cha kisiasa ambacho ni chama tawala cha Ethiopia tangu mapinduzi ya 1991. Chama hiki ni maungano ya vyama 4 vya kieneo ambayo ni Umoja wa Kidemokrasia wa Watu wa Oromo Peoples Demo ...

                                               

Meta-Wiki

Meta-Wiki ni tovuti ya Wikimedia Foundation na mahali muhimu pa kuendeleza na kusimamia miradi yote ya shirika hii. Miradi kama Wikipedia, Wiktionary, Wikiquote, Wikisource, Wikinews, Wikibooks, Wikiversity au Wikimedia Commons hutumia programu y ...

                                               

El Aaiún

El Aaiún ni mji mkubwa wa Sahara ya Magharibi kwenye bonde la Saguia el Hamra karibu na mwambao wa Atlantiki. Hadi 1976 ilikuwa makao makuu ya utawala wa kikoloni wa Hispania. Baadaye mji ulivamiwa na Moroko pamoja na sehemu kubwa ya Sahara ya Ma ...

                                               

Endymion

Katika mythology ya Kiyunani, Endymion, alikuwa mchungaji mzuri wa Aeolian, wawindaji, au mfalme ambaye alisema kutawala na kuishi katika Olimia huko Elis, Na pia aliheshimiwa na katika kuishi Mlima Latmus huko Caria, pwani ya magharibi ya Asia N ...

                                               

Hoteli Cairo Marriott

Hoteli ya Cairo Marriott ni hoteli kubwa iliyoko kando ya Mto Nile katikati mwa Cairo, Misri. Wakati mmoja jengo hili lilikuwa ikulu iliyojengwa kufuatia amri kutoka kwa mtawala wa Misri katika 1869, hoteli hiiilibadilishwa hadi hoteli ya kisasa ...

                                               

Channel O

Channel O ni stesheni ya muziki yenye makao yake Afrika Kusini ambayo ilianza kupeperusha vipindi kwa mara ya kwanza mapema katika miaka ya tisini. Wazo lake kuu ni muziki wa Kiafrika barani Afrika na ngambo. Katika miaka iliyopita, stesheni hii ...

                                               

Bo

Bo chart Application ni App ya mawasiliano kutoka Tza hii ni moja ya app yenye uwezo Wa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja hii ni app ambayo kwa Mara kwanza Ilizinduliwa Mo Town Club Dodoma inakupa nafasi kukusogezea mambo yote muhimu kupitia Ap ...

                                               

Where The Dreams Come True Tour

Where the Dreams Come True Tour ilikuwa ni moja ya ziara kubwa walizowahi kufanywa na kundi la Westlifes Wakiweza kutembelea maeneo kama Uingereza, na bara la Uropa, katika mwaka, 2001. Ziara hiyo, ilipewa jina la utani la "The No Stool Tour" yaa ...

                                               

Besi

Kwa dutu la kikemia tazama hapa: Besi Besi ni jina kwa sauti ya chini katika muziki. Kifizikia besi huelezwa kuwa sauti yenye marudio kati hertz 0 hadi 150. Marudio ya chini hupokelewa na binadamu siyo kupitia masikio pekee bali kwa mwili wote. K ...

                                               

Baraza la Mapinduzi Zanzibar

Baraza la Mapinduzi pamoja na Baraza la Wawakilishi la Zanzibar hufanya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Jukumu kuu la baraza ni kumshauri Rais wa Zanzibar, ambaye ni mkuu wa serikali. Baraza linaundwa na wana ...

                                               

Someday (Mariah Carey song)

Someday ni wimbo ulioandaliwa na mwimbaji Mariah Carey akishirikiana na Ric Wake na kutayarishwa na Wake kwa ajili ya albamu ya Mariah yenye jina lake mwenyewe ya Mariah Carey iliyotoka mwaka 1990.

                                               

Polyphony Digital

Polyphony Digital Inc. ni kampuni ya kuunda michezo ya video na ni kitengo cha kampuni ya Sony Computer Entertainment na ni sehemu ya Sony World Studios. Hapo awali studio hii ilikuwa inajulikana kama Polys Entertainment, lakini baada ya mafaniki ...

                                               

Mishamu

Mishamu ni madini laini meupe, ambayo hutumiwa kutengeneza viko vya tumbaku. Mishamu ni silikati ya magnesi yenye fomula Mg 4 Si 6 O 15 2 6H 2 O, inaweza kupatikana kwa umbo la nyuzi, chembechembe, na hali ngumu. Iligunduliwa na kupewa jina la me ...

                                               

Photographic Convention of the United Kingdom

Photographic Convention of the United Kingdom ilianzishwa mwaka 1886 na mkataba wake wa kwanza ulifanyika katika mji wa Derby, England mwezi Agosti mwaka huo. Wajumbe waanzilishi walikuwa mchanganyiko wa wapiga picha hodari na matajiri. Wapiga pi ...

                                               

Krimu

Krimu ni maziwa bidhaa linajumuisha wa juu butterfat safu skimmed kutoka juu ya maziwa kabla homogenization. Katika maziwa un-homogenized, mafuta, ambayo ni chini ya nene, hatimaye kupanda hadi juu. Katika uzalishaji wa viwanda wa krimu, mchakato ...

                                               

Wilaya za Tanzania 4

Hivi ni vigezo vya Wilaya vilivyoandaliwa kwa mikoa yote kufuatana na sensa 2012 1. Dodoma | 2. Arusha | 3. Kilimanjaro | 4. Tanga | 5. Morogoro | 6. Pwani | 7. Dar-es-salaam | 8. Lindi | 9. Mtwara | 10. Ruvuma | 11. Iringa | 12. Mbeya | 13. Sing ...

                                               

William England

William England alifanikiwa kuwa mpiga picha wa victorian aliye pendelea kuchukuwa picha stereoscopic. Vyanzo hawakubaliani tarehe yake ya kuzaliwa, lakini imenukuliwa na waandishi mbalimbali kwamba ilikuwa kati ya mwaka 1816 na 1830. mwaka 1840s ...

                                               

The Love Tour

The Love Tour ilikiwa ziara ya bendi ya Westlife. Ziara hii ilianzia nchini Australia na kuelekea Afrika na hatimaye Uingereza Hakukuwa na DVD kwa ajili ya ziara hii.

                                               

Orodha ya tovuti maarufu duniani

Hii in orodha ya tovuti maarufu duniani kutokana na orodha iliyoandaliwa na Alexa Internet Mei 16, 2018 na SimilarWeb Machi 2018. Orodha hii ina tovuti 67, kati ya hizo tovuti 21 zinamilikiwa na kampuni ya Google. Ukiacha tovuti za Google, tovuti ...

                                               

Umejitokeza

Umejitokeza au Iliyoripotiwa ni jukwaa la kuchapisha la Marekani iliyoanzishwa mwaka wa 2013 kutoka kwa waandishi wa zamani wa zamani na waandishi kusaidia waandishi wapya wadogo na zana muhimu za kuandika na kuchapisha kitabu chako. Jukwaa limef ...

                                               

Rap opera

Rap opera au hip hopera ni mfululizo wa nyimbo za hip hop katika aina ya opera, imetokana na wazo la rock opera. Kama jinsi mtangulizi wake, rap opera inaelezea hadithi moja baada ya nyingine ya muziki kwa vipande-vipande, ambamo inamhusu muhusik ...

                                               

Kitchen witch

kitchen witch, wakati mwingine huitwa mchawi wa au Scandinavia mchawi wa jikoni, ni poppet au mwanasesere inayofanana na mchawi wa kijinga au crone iliyoonyeshwa jikoni mwa makazi kama haiba nzuri ya bahati na kukwepa mbaya roho.

                                               

Come On Over

Come on Over ni wimbo ulioshinda katika Grammy Awardambao umeimbwa na mwimbaji kutoka Canada Shania Twain. Ilikuwa Single ya tisa kwa country adio na pia iliipa jia albamu yake ya 1999 Come on Over. Ulitungwa na Twain na aliyekuwa mumewe wakati h ...

                                               

G-funk

G-Funk, au Gangsta-Funk, ni kiji aina au aina ndogo ya muziki wa hip hop ambayo imeibukia katika mtindo wa West Coast Gangsta rap mwanzoni mwa miaka ya 1990.

                                               

The Best

The Best ni wimbo uliotungwa na Mike Chapman na Holly Knight, ambao awali ulishirikishwa katika albamu ya Bonnie Tyler ya 1988 Hide Your Heart. Wimbo huu, hatimaye, ulitayarishwa na kutolewa kama Single ya ufanisi mkubwa na Tina Tunner mnamo 1989 ...

                                               

Wikipedia Zero

Wikipedia Zero ni mradi wa taasisi ya Wikimedia Foundation inayolenga kuwapa watumiaji wa simu za mkononi nafasi ya kutumia Wikipedia bure yaani bila gharama kupitia simu zao.

                                               

Shairi funzo

1. Mitaani wanazugaga, mara eti tunakulaga, chanzo wamenitega, 2. vipo vingi vya kulaga, kuna piza na baga, mtabakia mizoga, 3. acheni kutegeka, mtapigwa mieleka, mshindwe kupendeka. 4. wengi wao wapogoro, kukesha kwene kigodoro, wanazua migogoro ...

                                               

Man with No Name

The Man With No Name ni jina la kutaja uhusika katika filamu za western, lakini istilahi hii kikawaida hutumika mahususi kwa uhusika uliochezwa na Clint Eastwood kwenye filamu zilizoongozwa na Sergio Leone "The Dollars Trilogy." Kunako mwaka wa 2 ...

                                               

Stunner (Albamu)

Single za kutoka katika albamu ya Stunner "Grammy Award" Imetolewa: 25 Februari 2017 "Till The End" Imetolewa: 20 Aprili 2017 "Tetemesha" Imetolewa: 13 Julai 2017 "Kamata" Imetolewa: 3 Februari 2017 "Stunner" Imetolewa: 11 Oktoba 2016 "Worth My H ...

                                               

Twitter

Twitter ni mtandao wa kijamii unaotoa huduma ya kutuma vijiujumbe vidogo vinavyoitwa "Tweets" na kushea na watu wanaokufuata. Vilevle huduma hii hutazamiwa kama blogu ndogo. Watumiaji wanatumia simu za mkononi au kompyuta kutuma na kusoma jumbe. ...

                                               

Tarafa ya Badikaha

Tarafa ya Badikaha ni moja kati ya Tarafa 6 za Wilaya ya Niakaramandougou katika Mkoa wa Hambol ulioko katikati ya Cote dIvoire Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 21.441 Makao makuu yako Badikaha mji. Hapa chini ni majina ya vijiji 34 vya tarafa ...

                                               

Tarafa ya Attoutou

Tarafa ya Attoutou ni moja kati ya Tarafa 2 za Wilaya ya Jacqueville katika Mkoa wa Grands-Ponts ulioko kusini mwa Cote dIvoire Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 24.020 Makao makuu yako Attoutou mji. Hapa chini ni majina ya vijiji 16 vya tarafa ...

                                               

Tarafa ya Sikolo

Tarafa ya Sikolo ni moja kati ya Tarafa 4 za Wilaya ya Kong katika Mkoa wa Tchologo ulioko kaskazini mwa Cote dIvoire. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 21.163. Makao makuu yako Sikolo mji. Hapa chini ni majina ya vijiji 27 vya tarafa ya Sikolo ...

                                               

Tarafa ya Kimbirila-Sud

Tarafa ya Kimbirila-Sud kwa Kifaransa: Sous-préfecture de Kimbirila-Sud ni moja kati ya Tarafa 2 za Wilaya ya Samatiguila katika Mkoa wa Kabadougou ulioko kaskazini-magharibi mwa Cote dIvoire. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 8.550. Makao makuu ...

                                               

Tarafa ya Loviguié

Tarafa ya Loviguié ni moja kati ya Tarafa 11 za Wilaya ya Agboville katika Mkoa wa Agnéby-Tiassa ulioko kusini mwa Cote dIvoire. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 17.048. Makao makuu yako Loviguié mji. Hapa chini ni majina ya vijiji 5 vya tarafa ...

                                               

Kampuni ya Bacup

Kampuni ya Viatu ya Bacup ni kampuni ya kutengeneza viatu iliyo na makao yake katika kijiji cha Stacksteads,karibu na Bacup, Lancashire,Uingereza. Kampuni hii ilianzishwa katika mwaka wa 1928 na Ernst Goodwin. Kampuni ya Bacup ni mojawapo ya kamp ...