ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 2
                                               

Serikali ya Víchy

Serikali ya Víchy ilitawala Ufaransa chini ya amri ya Ujerumani wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Iliongozwa na Jemadari Philippe Pétain na makao makuu yalikuwepo mjini Vichy katika kusini ya Ufaransa. Petain alikubali kuunda serikali hii baad ...

                                               

Somalia ya Kiingereza

Somalia ya Kiingereza ilikuwa eneo lindwa la Uingereza katika Somalia ya Kaskazini. Eneo lake lilikuwa tangu 1961 sehemu ya Jamhuri ya Somalia na tangu 1991 limekuwa kwa kiasi kikubwa Jamhuri ya Somaliland, nchi isiyotambuliwa na umma wa kimataif ...

                                               

Tamna

Ufalme wa Tamna au Tamna guk uliongoza Kisiwa cha Jeju kuanzia kipindi cha kale hadi hapo iliopokuja kuchukuliwa na Nasaba ya Joseon ya Kikorea mnamo 1404. Ufalme huu pia kuna kipindi hujulikana kama Tangna, Seomna, na Tammora. Maana ya zote ni " ...

                                               

Titanic

Titanic ilikuwa meli kutoka Uingereza iliyojengwa kati ya 1909 na 1912 huko Belfast. Wakati ule ilikuwa meli kubwa duniani pamoja na mwenzake "Olympic". Ilipangwa kuzunguka kwenye Atlantiki kati ya Uingereza na Marekani. Kwenye safari yake ya kwa ...

                                               

Uajemi ya Kale

Uajemi ya Kale ni kipindi katika historia ya Uajemi kilichotokea kabla ya kuingia cha Uislamu nchini na hasa kipindi cha milki kubwa. Nasaba mbalimbali za watawala ziliunda madola makubwa yaliyounganisha nyanda za juu za Uajemi pamoja na nchi za ...

                                               

Ufalme wa Bourgogne

Ufalme wa Bourgogne lilikuwa jina ambalo lilitolewa kwa mataifa mbalimbali ya Ulaya Magharibi wakati wa Zama za Kati. Bourgogne ya kihistoria inahusiana na eneo la mpakani kati ya Ufaransa, Italia na Uswisi na inajumuisha miji mikubwa ya kisasa y ...

                                               

Ufalme wa Byzanti

Ufalme wa Byzanti ni neno linalotumika kutaja Dola la Roma lilivyoendelea mashariki mwa eneo la kandokando ya bahari ya Mediteranea katika Zama za Kati, ukiwa na makao yake makuu kwenye mji wa Konstantinopoli na kutumia lugha ya Kigiriki. Katika ...

                                               

Ufalme wa Mutapa

Ufalme wa Mutapa ni ufalme wa Wakaranga ulioenea kutoka mto Zambezi kupitia mto Limpopo hadi Bahari ya Hindi kusini mwa Afrika, katika nchi za kisasa za Zimbabwe, Afrika Kusini, Lesotho, Swaziland, Msumbiji na sehemu za Namibia na Botswana, tena ...

                                               

Ufalme wa Nkore

Ufalme wa Nkore ulikuwa himaya ya kitamaduni za Kibantu huko Uganda. Himaya hiyo ilikuwa inapatikana upande wa Kusini Magharibi mwa Uganda, Mashariki mwa Ziwa Edward. Himaya hiyo ilikuwa ikitawaliwa na serikali iliyojulikana kama vile Mugabe au O ...

                                               

Ufalme wa Wavandali

Ufalme wa Wavandali ulienea kwa karne moja katika maeneo ya Algeria na Tunisia ya leo, pamoja na kutawala visiwa vya Mediteraneo magharibi. Hao walikuwa kabila kubwa la Kigermanik la mashariki ambao katika karne tano za kwanza BK walihama kutoka ...

                                               

Ugiriki ya Kale

Ugiriki ya Kale ni kipindi cha historia ambapo Ugiriki ulipanuka katika eneo kubwa la Mediteraneo na Bahari Nyeusi, na kudumu kwa karibu milenia moja, hadi Ukristo ulipoanza. Wakati wa Yesu, kitovu cha ustaarabu huo kilikuwa mji wa Aleksandria. U ...

                                               

Ugonjwa wa corona Tanzania 2020

Ugonjwa wa corona uliletwa Tanzania kutoka Ubelgiji tarehe 15 Machi 2020. Msafiri aliyeleta virusi vya ugonjwa huo ni mwananchi aliyefika Arusha na ambaye baadaye alipona. Tarehe 31 Machi 2020 Mtanzania wa kwanza alifariki huko Dar es Salaam. Wal ...

                                               

Ukame wa Eire

Ukame Mkubwa au Njaa Kubwa ni jina lilotolewa kwa ajili ya kipindi cha ukame nchini Eire kati ya 1845 na 1849. Nje ya Eire, maranyingi waliita Irish Potato Famine yaani Ukame wa Mbatata Eire. Ukame huo ulisababishwa na mabaka-baka. Mabakabaka ili ...

                                               

Umoja wa Kisovyeti

Umoja wa Kisovyeti ilikuwa nchi kubwa duniani kati ya 1922 hadi 1991. Mara nyingi illitwa pia Urusi lakini ilijumlisha Urusi pamoja na maeneo mengine yaliyotwaliwa na Urusi katika mwendo wa historia kabla ya kutokea kwa Umoja wa Kisovyeti yaliyoe ...

                                               

Universities Mission to Central Africa

Universities Mission to Central Africa, kwa kifupi "UMCA", ilikuwa jumuiya ya wasomi iliyoanzishwa na wanachama wa Kanisa la Anglikana katika vyuo vikuu vya Oxford, Cambridge, Durham na Dublin. Kutokana na wito wa mmisionari David Livingstone, ju ...

                                               

Ustaarabu wa Indus

Ustaarabu wa Indus ulikuwa ustaarabu wa Zama za Shaba uliopatikana katika bonde la mto Indus katika Pakistan na Uhindi ya leo.

                                               

Wavikingi

Wavikingi ni jina la kujumlisha makundi ya watu wa makabila ya Kigermanik katika Ulaya ya Kaskazini walioonekana kwa majirani kama wafanyabiashara na pia maharamia wa baharini. Asili yao ilikuwa katika Skandinavia ya Kaskazini na kusini, wakatumi ...

                                               

Voortrekker

Voortrekker ni neno la Kiafrikaans linalomaanisha "watangulizi". Katika historia ya Afrika Kusini makaburu walianza kuondoka katika Koloni ya Rasi kuanzia mwaka 1835 kwa sababu walisikitika mno utawala wa Uingereza.

                                               

Waamori

Waamori walikuwa watu wa jamii ya Wasemiti kutoka Syria walioenea pia katika maeneo makubwa ya Mesopotamia kusini kuanzia karne ya 21 KK hadi mwisho wa karne ya 17 KK, wakianzisha idadi kadhaa ya miji-dola muhimu, hasa Babuloni. Kisha kufukuzwa k ...

                                               

Waanglia-Saksoni

Waanglia-Saksoni walikuwa Wagermanik wenye asili katika Ujerumani ya Kaskazini ya leo waliohamia Uingereza wakati wa karne ya 5 na 6 BK na kuwa wenyeji hata wakahesabiwa kama mababu wa Waingereza wa leo. Jina linaonyesha kwamba walianza kama mcha ...

                                               

Waetruski

Waetruski walikuwa taifa maalumu katika Italia ya kale. Waliishi katika Italia ya Kati na kuanzisha mji wa Roma. Mwanzo wa ustaarabu wao ulikuwa mnamo mwaka 800 KK ukaishia katika miaka ya mwisho ya Jamhuri ya Roma. Waliacha mabaki ya utamaduni w ...

                                               

Wagermanik

Wagermanik ni jina la kundi la kihistoria la makabila na mataifa yenye asili ya Ulaya Kaskazini ambayo hujumuishwa kutokana na lugha zao zilizofanana. Lugha hizo zinazoitwa lugha za Kigermanik ni kundi ndani ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Lugha za ...

                                               

Wakelti

Jina linatokana na taarifa za Wagiriki wa Kale, waliowaita Κέλτοι Keltoi au Γαλάται Galatai, na za Waroma wa Kale waliowaita Celti. Wenyewe hawakuacha maandishi, kwa hiyo haijulikani kama walikuwa na jina la kujiita kwa jumla. Walitumia lugha za ...

                                               

Amerika ya Kaskazini

Amerika ya Kaskazini ni bara upande wa Kaskazini mwa Ikweta. Inapakana na Bahari ya Pasifiki upande wa Magharibi, na Bahari ya Atlantiki upande wa Mashariki. Ina nchi mbili hadi tatu kutegemeana na hesabu: Marekani Meksiko kijiolojia ni sehemu ya ...

                                               

Anwani ya kijiografia

Anwani ya kijiografia ni namna ya kutaja mahali duniani. Anwani ya kijiografia huelezwa kwa kutaja longitudo na latitudo za mahali fulani. Dunia hugawiwa katika gredi 360 za longitudo na gredi 180 za latitudo 90° za kaskazini na 90° za kusini. La ...

                                               

Auckland

Auckland ni mji mkubwa kabisa katika nchi ya New Zealand. Mji wa Auckland una idadi ya wakazi wapatao milioni 1.4. Kwa kipindi kifupi katika historia ya New Zealand, mji wa Auckland ulikuwa mji mkuu kabla hauja amishiwa katika mji mkuu mwingine w ...

                                               

Australia na Pasifiki

Australia na Visiwa vya Pasifiki hujumlishwa mara nyingi pamoja katika hesabu ya mabara. Hasa watu kwenye visiwa vingi vya Pasifiki wana utamaduni wa karibu. Vilevile historia ya visiwa hivyo kabla ya kuenea kwa ukoloni imefanana katika mengi.

                                               

Bahari

Bahari ni eneo kubwa lenye maji ya chumvi. Katika Kiswahili cha kila siku neno hili hutumiwa pia kwa kutaja magimba madogo zaidi ya maji kama vile ziwa. Kwa maana ya kijiografia bahari hasa ni bahari kuu ya dunia kwa Kiingereza ocean yaani maeneo ...

                                               

Bahari ya Aktiki

Bahari ya Aktiki ni bahari inayozunkguka ncha ya kaskazini. Ni sehemu ya eneo la Aktiki. Wataalamu wengine huitazama kama bahari ya pekee lakini wengine huona ni bahari ya pembeni ya Atlantiki. Kina kikubwa kiko karibu na visiwa vya Spitzbergen c ...

                                               

Bahari ya Barents

Bahari ya Barents ni tawi la Bahari ya Aktiki, na iko kaskazini kwa Urusi, Norwei na funguvisiwa la Svalbard pamoja na Kisiwa cha Dubu. Visiwa vya Novaya Zemlya vinaitenganisha na Bahari ya Kara. Eneo lake ni la km² 1.424.000. Jina limetokana na ...

                                               

Bahari ya Eritrea

Bahari ya Eritrea ni jina la kale la Bahari ya Shamu na Bahari Hindi. Neno "erythra" katika lugha ya Kigiriki inamaanisha rangi nyekundu. Hivyo bahari ile iliitwa "Bahari Nyekundu". Inasemekana ya kwamba jina hilo limetokana na aina ya mwani unao ...

                                               

Bahari ya Kusini

Bahari ya Kusini ni jina jipya katika jiografia. Linamaanisha maji yote ya kusini ya latitudo ya 60 yanayozunguka bara la Antaktiki. Katika eneo hilo maji ya Bahari ya Atlantiki, Bahari Hindi na Pasifiki hukutana na kuingiliana. Kwa muda mrefu wa ...

                                               

Bahari ya Weddell

Bahari ya Weddell ni sehemu ya Bahari ya Kusini iliyopo katika hori kubwa baina ya Rasi Antaktiki na Nchi ya Coats. Sehemu kubwa ya eneo lake imefunikwa na barafu ya kudumu. Upana kwenye mdomo wa hori ni karibu km 2.000, eneo hilo ni karibu kilom ...

                                               

Bamba la Afrika

Bamba la Afrika ni kati ya mabamba makubwa ya gandunia ya dunia yetu. Lipo chini ya bara la Afrika na chini ya sehemu za bahari zinazopakana nalo yaani tako la bara. Bamba hili limepakana na bamba la Ulaya-Asia, bamba la Uarabuni, bamba la Uhindi ...

                                               

Bamba la Amerika ya Kaskazini

Bamba la Amerika ya Kaskazini ni kati ya mabamba makubwa ya gandunia ya dunia yetu. Lipo chini ya bara la Amerika ya Kaskazini pamoja na Greenland ikielekea upanda wa mashariki hadi mgongo kati wa Atlantiki na upande wa magharibi hadi Japani na m ...

                                               

Bamvua

Kwa maana nyingine ya jina hili angalia hapa Bamvua ing. spring tide inahusu kujaa na kupwa kwa maji ya bahari, hasa kujaa kukubwa. Mara nyingi neno hili hutumika na watu wa pwani na wavuvi. Kwa kawaida bamvua hutokea mara mbili kwa mwezi. Bamvua ...

                                               

Bandar Abbas

Bandar Abbas Farsi بندر عباس ni makao makauu ya mkoa wa Hormozgan katika Uajemi. Ni mji wa bandari kwenye pwani la Mlango wa Hormuz wa Bahari Hindi. Mji ni kati ya mabandari muhimu ya nchi. Pia ni kituo muhimu cha jeshi la wanamaji la Uajemi.

                                               

Barafuto

Barafuto huitwa pia "mto wa barafu". Ni kanda kubwa la barafu iliyoanza kutambaa kutokana na uzito wake ikifuata graviti kwenye mtelemko. Kwa sababu hiyo barafuto zinapatikana hasa mlimani.

                                               

Bermuda

Bermuda ni funguvisiwa lenye visiwa 130 katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Marekani ambalo ni eneo la ngambo la Uingereza. Umbali na Amerika bara ni km 1.000. Visiwa hivyo vilikuwa bila watu vilipotembelewa mara ya kwanza na Wahispania. ...

                                               

Bikini (atolli)

Bikini ni jina la atolli ya Mikronesia kwenye nchi ya Visiwa vya Marshall katika Pasifiki. Mahali pake ni 11°30N 165°25E. Ina visiwa vidogo 36 vinavyozungusha hori ya ndani yenye urefu wa kilomita 4o na eneo la km² 594.2.

                                               

Bonde la Ufa

Bonde la Ufa kwenye fani ya jiolojia ni bonde ambalo limetokana na mwendo wa mabamba ya gandunia mahali yanapoachana. Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki ni mojawapo kati ya mabonde maarufu zaidi duniani. Mabonde ya ufa hutokana na mvutano wa tek ...

                                               

Visiwa vya Cook

Visiwa vya Cook kwa Kiingereza: Cook Islands, kwa Kimaori: Kūki Āirani ni nchi huru ya Polynesia katika Pasifiki iliyopo katika hali ya ushirikiano wa hiari na Nyuzilandi. Eneo lake ni visiwa vidogo 15 vyenye eneo la km² 240. Mji mkuu wa Avarua u ...

                                               

Delta

Umbo hili hutokea kama maji ya mto yanabeba matope, mchanga na mashapo mengine hadi mdomo wake baharini au ziwani. Maji ya mto yakiingia baharini hupunguza mwendo wake na nguvu ya kubeba yaliyomo ndani yake. Mashapo yanashuka chini: kwanza sehemu ...

                                               

Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi

Eneo la Uingereza katika Bahari Hindi ni hasa funguvisiwa la Chagos likiwa pamoja na kisiwa cha Diego Garcia. Linapatikana kati ya Tanzania na Indonesia. Mauritius inadai eneo lote ni lake, na mwaka 2017 mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa umeikubal ...

                                               

Eurasia

Eurasia ni jina linalotumika kutaja kwa pamoja nchi zote za Asia na Ulaya. Jina hilo linaunganisha maneno "Europa" na "Asia". Hali halisi mabara ya Ulaya na Asia yako pamoja kama nchi kavu mfululizo na hakuna bahari inayoyatenganisha. Kwa hiyo Ul ...

                                               

Fiji

Fiji Kifiji: Matanitu ko Viti ; Kihindustani: फ़िजी, فِجی ni nchi ya visiwani ndogo ya Melanesia katika Pasifiki yenye visiwa 322 na wakazi 844.330. Fiji iko mashariki kwa Vanuatu, magharibi kwa Tonga na kusini kwa Tuvalu. Kati ya visiwa vingi ku ...

                                               

Frigia

Frigia ni jina la ufalme wa zamani, halafu mkoa wa dola la Uajemi katika eneo la nchi ya Uturuki wa leo. Wakazi walioitwa Wafrigia walitokea Ulaya na kuzungumza lugha iliyofanana kidogo na Kigiriki.

                                               

Funguvisiwa

Funguvisiwa ni kundi la visiwa vinavyokaa sehemu pamoja baharini. Mara nyingi kundi la namna hiyo lina asili moja, kama vile kuwa mabaki ya kisiwa kikubwa zaidi kilichogawika kutokana na mmomonyoko wa ardhi yake au kuwa na asili ya volkeno. Atoll ...

                                               

Great Barrier Reef

Great Barrier Reef ni jina la kimataifa la safu ndefu ya miamba tumbawe inayokaa katika Bahari ya Matumbawe mbele ya pwani ya Australia kwa urefu wa kilomita 2.600. Ni safu ya mwamba tumbawe kubwa kabisa duniani ikiwa na miamba tumbawe 2.900 ya p ...

                                               

Griffith Observatory

Griffith Observatory ni paoneaanga pa Los Angeles, California. Kituo hiki kinapatikana kwenye mteremko unaoelekea kusini mwa mlima Hollywood huko Los Angeles katika hifadhi ya Griffith. Ekari 3.015 km za eneo 12.20 ya ardhi iliyozunguka uchunguzi ...

Users also searched:

...