ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 197
                                               

Too Gone Too Long

"Too Gone Too Long" ni kichwa cha wimbo uliotungwa na Gene Pistilli na kutayarishwa na msanii wa miondoko ya country Randy Travis. Ilikuwaw single ya tatu kutolewa kutoka kwa albamu yake Always & Forever. Iliibuka kuwa hit #1 ya tano nchini US. I ...

                                               

Rhino Ark

Rhino Ark ni shirika la hisani nchini Kenya linalolenga kukusanya pesa kwa kujenga fensi ya kuzunguka Aberdares National Park na Aberdares Conservation Area penye makazi ya vifaru walio hatarini ya kutoweka kutokana na uwindaji usio halali. Shaba ...

                                               

Lost

Lost ni kipindi cha Marekani kinachohusu maisha ya watu waliopata ajali ya ndege iliyokuwa inatoka mjini Sydney, Australia na kuelekea mjini Los Angeles lakini ikaangukia na kupata ajali kwenye kisiwa kilichoko Oceania. Kipindi hiki kinaonyeshwa ...

                                               

Desperate Housewives

Desperate Housewives ni kipindi cha Marekani kilichotungwa na Marc Cherry na kutayarishwa na ABC Studios pamoja na Marc CHerry Productions. Watayarishaji wakuu tangu msimu wa nne ni Marc Cherry, Bob Daily, George W. Perkins, John Pardee, Joey Mur ...

                                               

Mchezaji bora wa mwaka wa FIFA

Mchezaji bora wa mwaka ilikuwa tuzo iliyotolewa kila mwaka na mamlaka husika ya mchezo wa mpira wa miguu, FIFA kwa mchezaji bora duniani kati ya miaka 1991 na 2015. Makocha na manahodha wa timu za kimataifa na wawakilishi wa vyombo vya habari wal ...

                                               

Uwanja wa Nyayo

Uwanja wa kitaifa wa Nyayo ni uwanja wa azma tofauti mjini Nairobi, Kenya. Iko karibu na kituo cha mji. Uwanja huu unaweza kushikilia watu elfu thelathini na ulijengwa mwaka wa 1983. Hivi sasa hutumiwa zaidi kwa mechi ya kandanda. Klabu maarufu y ...

                                               

Africa Independent Television

AIT USA Archived Machi 31, 2009 at the Wayback Machine. Tovuti Rasmi Controversy Over Age, Cost of Presidential Jet by Rotimi Durojaiye - makala ambayo ilisababisha Durojaiye kukamatwa pamoja na Aruleba Kigezo:Kanal za kimataifa za Habari

                                               

Elenzian J. Komba

Elenzian JK ni Mwandishi chipukizi na hodari anayekuja kwa kasi kubwa kwenye uga wa Ushairi wa Kiswahili. Anatambulika kwa lakabu ya Kishairi ya "Kalamu Ndogo" ambayo yeye hujisikia fahari sana kujitambulisha kwayo, na pengine hii ndiyo sababu il ...

                                               

Kaizer Chiefs F.C.

Kaizer Chiefs ni klabu ya Afrika Kusini, iliyoanzishwa mnamo 7 Januari 1970 katika sehemu ya Soweto, mjini Johannesburg. Jina lingine la timu hii ni Amakhosi ambayo inamaanisha "mabwana" au "Chiefs" katika lugha ya Zulu. Wao kwa kawaida kucheza m ...

                                               

Otago Daily Times

Gazeti la ODT lilianza kuchapishwa mnamo tarehe 15 Novemba 1861. Hili ndilo gazeti kongwe kabisa la kuchapishwa kila siku nchini New Zealand. Gazeti jingine kongwe ni la Christchurch, The Press, ambalo ni kongwe kuliko ODT kwa miezi sita, lilikuw ...

                                               

Velocity (gazeti)

Velocity ni gazeti la bure la kuchapishwa kila wiki. Lilichapishwa kwa mara ya kwanza mnamo tarehe 3 Desemba 2003 na jarida la The Courier Journal ya Louisville, Kentucky. Gazeti hili huchapishwa katika rangi zote na sio nyeusi na nyeupe tu. Lina ...

                                               

BrooWaha

BrooWaha gazeti la raia kwenye mtandao wa tarakilishi linaloripoti sana habari za eneo lake la Los Angeles. Makala yanayochapishwa kwenye tovuti yameandikwa na watumiaji wake pekee. Matoleo kadhaa ya BrooWaha yameanzishwa katika majiji makuu ya M ...

                                               

Osmani I

Osmani I alikuwa mwanzilishaji wa Waosmani aliyeweka msingi kwa Milki ya Osmani iliyoendelea kwa karne sita hadi 1922 katika eneo la Uturuki, Balkani, Shamu na Misri. Chanzo chake ilikuwa kama chifu au mtemi wa kabila la Kiturki mpakani wa Ufalme ...

                                               

Time Trax

Time Trax ni mfululizo wa kipindi cha televisheni kilichokuwa kinarushwa hewani na Prime Time Entertainment Network ya Amerika/Australia. Ilikuwa filamu ya ushirika yaani makampuni mawili, moja kutoka Marekani na lingine kutoka Australia, wakaten ...

                                               

Jimbo Katoliki la Zanzibar

Jimbo Katoliki la Zanzibar ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania, likienea katika visiwa vya Unguja na Pemba vya Tanzania visiwani, jumla kilometa mraba 2.332. Makao makuu yake ni katika mji wa Zanzibar na linahusiana ...

                                               

Almas Tower

Almas Tower Diamond Tower) ni jumba refu sana mjini Dubai, United Arab Emirates. Ujenzi wa jengo hili la ofisi ilianza mapema mwaka 2005 na kukamilika mwaka 2009. Jengo hili lilifika urefu wake kamili mwaka 2008, na kuwa jengo ja pili refu zaidi ...

                                               

Europa (mitholojia)

Europa ni jina la mwanamke katika mitholojia ya Ugiriki. Alikumbukwa kama binti wa mfalme wa Finisia katika Asia ya Magharibi aliyetongozwa na mungu mkuu Zeus na kupelekwa naye hadi kisiwa cha Krete. Jina lake lilikuwa hivyo jina la bara la Europ ...

                                               

HMS Antelope (H36)

HMS Antelope ilikuwa chombo cha uangamizi cha Uingereza cha darasa la A. Kilikamilika 20 Machi 1930 na kupewa kundi la nyumbani la Uangamizi wa 18 Flotilla. Katika 5 Februari 1940, Antelope ilizamisha U-41 katika Mikabalaya Magharibi Kusini. Mash ...

                                               

Elimu nchini Cote dIvoire

Elimu nchini Côte dIvoire inaendelea kukabiliwa na changamoto nyingi. Kiwango cha wanaojua kusoma na kuandika kwa watu wazima bado kipo chini: mnamo 2000, ilikadiriwa kwamba 48.7% ya jumla ya wakazi wanajua kusoma na kuandika. Watoto waliowengi k ...

                                               

Elimu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati

Elimu ya umma katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ni bure, na elimu ni kiada kuanzia umri kati ya miaka 6 hadi 14. Vifo vinavyotokana na UKIMWI - vimechukua nafasi kubwa sana kwa walimu, hilo limepelekea kufungwa kwa shule za msingi zaidi ya 100 kat ...

                                               

Maureen Solomon

Maureen Solomon alizaliwa mnamo tarehe 23 1983Ni muigizaji kutoka Nigeria ambaye alishiriki katika filamu za kinaigeria Zaidi ya 80 Filamu za kinaigeria.

                                               

Suleyman Kisamvu

Suleimani Ally Suleimani Kissamvu, alipata elimu msingi katika Shule ya Msingi Zegero iliyopo wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani tarafa ya Mzenga kuanzia mwaka 1976 hadi 1982, lakini hakubahatika kuendelea na masomo ya sekondari kupitia shule za se ...

                                               

American British Academy

Shule ya American-British Academy, ilianzishwa mnamo Septemba 1987, iko katika mji wa Muscat, Oman na ni moja kati shule za kimataifa zilizoanzishwa kwenye kanda la Arabuni. Ni shule ya kibinafsi isiyo yenye kutoa faida; ambayo wanafunzi hawalali ...

                                               

Ed Dante

Ed Dante ni pseudonym ya Dave Tomar, msomi wa glasgow caledonian chuo sasa mwandishi wa kujitegemea wanaoishi katika Philadelphia. mwandishi ignited utata katika jamii kitaaluma wakati makala yake Kivuli Msomi alionekana katika mambo ya nyakati s ...

                                               

Faras

Faras ulikuwa moja kati ya miji mikubwa ya Lubia ya upande wa chini, katika Misri ya leo. Mji huu ulifurika na mafuriko ya Ziwa Nasser katika miaka ya 1960, na sasa mji huu upo chini ya maji kwa kudumu. Kabla ya mafuriko, wana-elimu wa kale walif ...

                                               

Kibungo Juu

Kibungo Juu ni kata ya Wilaya ya Morogoro Vijijini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67228. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6.304 walioishi humo. Kata ya Kibungo juu inaundwa na ...

                                               

Wanawake wa ukuta wa Kuomboleza

Wanawake wa Wall ni Wayahudi wa jinsia chama msingi katika Israeli ya kuhakikisha haki za wanawake kubeba juu ya mistari ya Torati ya kusoma Taurati na kuleta mavazi ya kidini katika ukuta Maombolezo, pia kuitwa. chama kupanga kikundi cha maombi ...

                                               

Msanduku

Misanduku ni miti ya familia Cupressaceae katika oda Pinales. Spishi fulani huitwa mreteni, msekwoya au msuja.

                                               

Kisaga

Visaga ni mbawakawa wa nusufamilia Bruchinae katika familia Chrysomelidae. Wadudu hao hujilisha kwa mbegu za spishi za Fabaceae na za familia nyingine kadhaa. Hupitia takriban maisha yao yote katika mbegu moja. Familia hii inapatikana duniani kot ...

                                               

Mecklenburg

Mecklenburg ni eneo katika kaskazii ya Ujerumani. Zamani ilikuwa utemi wa kujitegemea chini ya Dola Takatifu la Kiroma na leo hii ni sehemu ya jimbo la Mecklenburg-Vorpommern. Miji mikubwa zaidi ni Rostock, Schwerin, Neubrandenburg na Wismar.

                                               

Shujaa wa Kesho

DC ni Hadithi ya Kesho, au tu Hadithi ya Kesho, ni American action-adventure mfululizo wa televisheni ya maendeleo iliyobuniwa na Greg Berlanti, Marc Guggenheim, Andrew Kreisberg na Phil Klemmer, ambao pia ni watendaji wa wazalishaji pamoja na Sa ...

                                               

Sydney Bristow

Sydney Anne Bristow ni jina la kutaja muhusika mkuu katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Alias. Uhusika umechezwa na Jennifer Garner. Yeye ni mwanamke wa Kimarekani mwenye asili ya Kirusi-Kimarekani ambaye anafanya kazi kama mpelelezi ...

                                               

Kukama

Kukama ni tendo la kuondoa maziwa kutoka kiwele cha mnyama, kawaida ngombe, kifaru wa majini, mbuzi, kondoo na ngamia mara chache zaidi, farasi na punda. Kukama kunaweza kufanyika kwa mikono au kwa mashine.

                                               

Kinahuatl

Kinahuatl ni kati ya lugha asilia za Mexiko zilizopo tangu wakati kabla ya kufika kwa Wahispania. Idadi ya wasemaji wa lahaja zake ni takriban milioni moja na nusu. Ilikuwa lugha ya Waazteki, Watolteki na wengine wa nyanda za juu za Mexiko. Tangu ...

                                               

Frank Martin

Frank Martin ni jina la kutaja uhusika uliochezwa na Jason Statham, hasa katika mfululizo wa filamu za The Transporter. Martin amecheza kama dereva wa kulipwa-kujitegemea, anapatika kwa jamii ya wateja matajiri au hata wale wa uhalifu, ambaye ana ...

                                               

Einigkeit und Recht und Freiheit

Einigkeit und Recht und Freiheit ni maneno ya kwanza ya wimbo la taifa la Ujerumani. Wimbo hili lilitungwa kiasili na mshairi Hoffmann von Fallersleben mwaka 1841 kama "wimbo la Wajerumani" likiwa na mabeti matatu. Lakini beti ya tatu pekee inayo ...

                                               

Mpango wa Maendeleo ya Taifa

Mpango wa Maendeleo ya Kitaifa ni jina lililotolewa na Serikali ya Ayalandi kwa mfuko wa matumizimakubwa yaliyopangwa kwa miundombinu ya kitaifa. Kipindi cha mpango huu ambao unachukua muda wa miaka saba unaendeshwa kuanzia mwaka wa 2000 hadi 200 ...

                                               

GEOnet Names Server

GEOnet Names Server ni seva katika intaneti inayounganisha mkusanyiko wa data kutoka taasisi ya National Geospatial-Intelligence Agency ya jeshi la Marekani na taasisi nyingine ya serikali ya Marekani inayoitwa United States Board on Geographic N ...

                                               

Kitunda (kete)

Kitunda hutazamiwa kama kete dhaifu kwenye mchezo wa shataranji. Hata hivyo mchezaji hodari anaweza kushinda akijua kutumia vitunda vyake kwa busara. Kama kete inafika mstari wa mwisho upande wa kinyume wa ubao inabadilika kuwa kete ya juu kama m ...

                                               

Avatar: The last airbender

Karne moja iliyopita, Avatar Aang mchanga, akiogopa majukumu yake mapya, alikimbia kutoka nyumbani kwake na akalazimishwa kuingia baharini na dhoruba na akajifunga kwenye uhuishaji uliosimamishwa kwenye barafu karibu na Ncha ya Kusini. Muda mfupi ...

                                               

Mataifa ya ushirikiano

Mataifa ya ushirikiano ni jina la kutaja mataifa yaliyoungana pamoja dhidi ya Ujerumani na nchi zilizoshikamana nayo hasa wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia na pia wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Ujerumani ilishambulia Poland tarehe 1 Sep ...

                                               

MS cha Mafunzo cha Ushirikiano wa Maendeleo (MS TCDC)

MS cha Mafunzo cha Ushirikiano wa Maendeleo ni taasisi ya mafunzo ilyoko Usa River, Arusha, Kaskazini mwa Tanzania, kiko katika sehemu za Mashariki ya Afrika. Dhamira yake ni "ya kuwezesha mafunzo yanayochangia moja kwa moja kuimarisha utawala wa ...

                                               

VP Records

VP Records ni jina la studio ya kurekodi muziki wa Reggae inayojisimamia ambayo inapatikana mjini Queens, New York. Inajulikana sana kwa kuwatayarishia muziki waimbaji wengi wa Kikaribi.

                                               

Michael Vaughn

Michael C. Vaughn ni jina la kutaja uhusika wa kwenye mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Alias. Uhusika umechezwa na Michael Vartan, Vaughn ni mmoja kati ya wafanya-wenzi wa Sydney Bristow na vilevile ndiye kipenzi chake cha baadaye na kuen ...

                                               

Christian Doppler

Christian Andreas Doppler alikuwa mwanahisabati na mwanafizikia Mwaustria. Amekuwa maarufu kutokana na utambuzi wa athari ya Doppler iiyopokea jina lake. Doppler alizaliwa Salzburg katika familia ya wachongaji wa mawe. Ilhali alikuwa mtoto mdhaif ...

                                               

Amarula

Amarula ni kinywaji chenye asili ya Afrika Kusini ambacho kilitayarishiwa katika Afrika ya Kusini. Kinywaji hiki kinatengenezwa kwa sukari, krimu na morula zilizochacha, matunda ya mngongo ambao huitwa mti wa ndovu au mti ndoa pia huko Afrika Kus ...

                                               

Kata ya Antelope, Nebraska

Kigezo:Jimbo Kata ya Antelope ni kata ya Marekani iliyo katika jimbo la Nebraska, na iliundwa mwaka wa 1871. Kati 1 Julai 2006, makisio ya idadi ya watu ilikuwa 6931. Kiti cha kata hii ni Nelighm Maeneo ya mifupa ya kitambo na alama za rdhi za ta ...

                                               

Kylian Hazard

Kylian Hazard ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji wa klabu ya Cercle Brugge. Anao kaka wawili, Eden na Thorgan, na mdogo mmoja, Ethan, wote ni wacheza mpira.

                                               

Starfalls

Ni kipindi cha televisheni ambacho huoneshwa kwenye chaneli ya nickelodeon ambayo inahusu msanii aitwaye Craig aliyehama pamoja na watoto wake Diamond,Phoenix na Bo brooks kutoka sehemu waliyokuwa wanaishi ambayo ilikuwa inaitwa Alley nakwenda ku ...

                                               

Kwaya ya Wasichana ya Cantamus

Kwaya ya Wasichana ya Cantamus ni kwaya yenye makao katika Mansfield, Nottinghamshire na lina takriban wasichana arobaini wenye umri kati ya miaka kumi na tatu na kumi na tisa. Kwaya hii ilianzishwa mwaka wa 1968 na Pamela Cook, Geoffrey Thompson ...